Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa vikundi vya akina mama;vijana;na vituo vya kulelea watoto yatima;kampuni yetu itatoa ofa maalumu kwa ununuzi wa mashine za kutotoleshea mayai ya kuku(incubator);na mashine za kufua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fikiria kufanya biashara ambayo utauza kitu ambacho kitakuwa na bei ndogo halafu uwafikie watu wengi kadri uwezavyo. Natoa mfano mdogo wa jinsi wa kuwa Milionea ndani ya mwezi mmoja. Mfano: Kuwa...
4 Reactions
22 Replies
14K Views
Wadau habr zenu na habar ya majukum ya kila siku,ebhn ninalaptop yangu mpya ninauza kwa bei poa tu,kwa wale wanaozijua laptop,specification za hy laptop n hard disk 1TB(1000GB),RAM 4GB na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani eeeh! Nawasalimu. Niko mbali sana na tawi lolote la CRDB ili nikaulize, so naomba msaada kwa anayejua hili. Nimeajiriwa ajira ya ualimu mwaka huu, nahitaji kuchukua mkopo CRDB. Je...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
“…………….The state’s GDP figures released in September 2012 provide some interesting insights into the Lagos economy. The state has a GDP figure put in excess of N12 trillion or $81 billion as of...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana Jf, mimi ni Dereva wa magari madogo! nihitaji gari kwa ajili ya shughuli ndogondogo! kwa wenye nayo! mawasiliano yangu ni 0714306015 au 0759601820 natanguliza shukrani!!
0 Reactions
0 Replies
925 Views
naishi moshi mjini na nimeajiliwa kwa mhindi mmoja, kwa sasa nina miaka 3 nkimsaidia kutunza stoo yake vifaa vya ujenzi. sasa nmejichanga kwa mda wote huu na sasa nimepata tsh milioni 5. mimi...
1 Reactions
1 Replies
985 Views
Samahani wana jf, Naomba mwenye kujua taratibu za mtumishi wa umma kuomba msamaha wa kodi kama ameagiza gari nje ncihi naomba kuwasilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Iam an entrepreneur at a medium scale and I would like to question my fellow JF followers on how a dedicated trader or any medium scale producer may earn more profits in monthly time. I work and...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini Wana Jukwaa! Kama swali lilivyo katika "title", naomba wenye uelewa wa taratibu (legal formalities) za kufuata ili mtu aweze kupeleke mzigo wa biashara (yeyote) nje ya nchi (nchi yeyote)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wandugu!!!natafuta old model rav 4 katika show room za Dar!!Show room ipi naweza pata old model rav 4,ambayo haijachakachuliwa kwa 15M?Ntashukuru kwa msaada wenu!!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
kila mara huwa naalikwa kwenye hiyo mikutano ya wajasiria mali nasijawahi kwenda hata mmoja huwa nadharaugi tuu jamani waliowahi kwenda naombeni mnijuze huwa kuna jipya au ni blabla tuu za watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natumai ni wazima wa afya,nilikuwa nataka kujua eti nauli kutoka tanzania mpaka south africa kwa ndege ni shilingi ngapi hasa fastjet?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hoja hii inagusa wanaume na wanawake wote wenye vitambi utaratibu uandaliwe wa kisheria ili hivyo vitambi vyaoo wavilipiee kodi na hili litasaidia kuleta afya bora na itafanya sehemu za mazoezi...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
2 Reactions
25 Replies
15K Views
Wana jf ,husika na elezo hapo juu, nina kampuni yangu ya ltd. Ila eneo la ofisi na workshop havipo eneo moja. Sasa ninataka eneo la workshop lisajiliwe kama sehemu ya kazi je nifuate utaratibu...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Habari wadau . Najua huku naweza kupata ushauri mzuri wa kiiashara. Na jambo dogo tu nataka kuuliza kwa wazoefu wa kusafiri pamoja na wafanyabiashara wakubwa . Nna Access ya kutumiwa mzigo wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari JF people, Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa wadau,kuwa unaweza kununua bidhaa nje ya nchi (online)mfano: nchi kama,UK,S. Afrika ,japan, china n.k kwa ajili ya matumizi yako na ukatumiwa kama parcel kwa njia ya Western...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom