Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Shaka sina wana Jamiiforums mko poa! Naomba kujuzwa gharama ya kuanzisha saloon ya kiume!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Construction of the facility is slated to start January next year according to Kenya Airports Authority (KAA) managing director Lucy Mbugua. The African Development Bank (AfDB) has been selected...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJM napenda kujiunga na Internet banking ..mimi ni Mteja wa CRDB naomba kwa mwenye ujuzi na hili anitoe GIzan.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Natumaini wote hamjambo, mimi pia sijambo, Tumshukuru Mungu. Wadau nafikiria kufanya biashara ya Tigopesa na M-pesa, nataka kujua mtaji wa biashara hii, changamoto na faida ya biashara hii, eneo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama walivyo wamiliki wengi wa biashara ndogo au za kawaida, unaweza kudhani biashara yako haitafaidika ikiwa utaiweka kwenye website/tovuti au unafikiri ni gharama sana kumiliki website. Au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari za biashara, Naomba kujua kama nina dola elfu kumi ni bidhaa zipi naweza kupeleka Tanzania kutokea China kwa njia yoyote ni sawa hata kwa ndege. Kiwango cha faida nahitaji kama...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Msaada kwenu wakubwa kama mnaweza kunipa uelewa kidogo juu ya biashara hii ya computer accessories pamoja na phone accessories. Ntashukuru kama mtanisaidia sana wakubwa!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA NINI TAX CONSULTANTS WATEULIWE/KUPEWA LESENI NA TRA ILI KUWATETEA TAX PAYER ? Wakuu natumaini muko salama, naomba ushauri wenu kuhusu utaratibu huu ulivyokaa , Kumekuwepo na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
How To Make Money on Youtube...........
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari Jamiiforums, Natamani kujiingiza mzimamzima kwenye hii issue ya share(hisa). Naomba ushauri wenu kwa wajuzi wa mambo me nataka base sana online shares. Hivi ni website / mtandao upi ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Techno inahitajika leo hii,bajeti 65,000/= nipo dar.Ni pm fasta
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Ndugu zanguni, Naomba anayejuauwezekano wa kupata Credit Cards Tanzania na jinsi ya kuzilipia. Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Watanzania tumefika mahali kazi za usafi wa nyumbani zinafanywa na foreigners, nimejiuliza yafuatayo:- 1) Inamaana watanzania wamejitosheleza hawahitaji kufanya kazi za nyumbani (kielimu na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani. Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wapi ntapata kati ya 10m-15m nikalime. Nina kiwanja chenye hati kama collateral pia nina mkataba wa kazi ambao huwa na urinew kila baada ya mwaka. Mkataba huo una thamani ya 1m kwa mwezi...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari zenu wana jf,natafuta mtu wa kufanya nae biashara nimemaliza chuo mwaka huu, wakati nasoma nilikuwa na kibanda changu cha kupiga picha za kawaida, passport size,video shooting kwenye...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Pals habari zenu, Nahitaji nianze kuuza nguo za mitumba. Je, ni sehemu gani wanauza mabaloo mchanganyiko ambayo ni mizuri na bei yake inaridhisha? Nipo Dar
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Hv kuna business opportunities zozote unazozifahamu zinazoweza patikana jijini mwanza? Any help will be appreciated
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Wana-JF natumai mko poa, Please naombeni msaada wenu juu ya kusafirisha/ kuingiza cement ya pakistan. Kwa kuanzia naombeni mnisaidie mambo yafuatayo; I) Ni kampuni gani maarufu inayoaminika kwa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Back
Top Bottom