Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wadau. Naomba msaada juu ya biashara ya Drycleaning. Ningependa kujua hasa juu ya gharama za mashine na jinsi nnavyoweza kuagiza kutoka nje pamoja na kodi za TRA au kama hapa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Ninahitaji kuagiza mbwa kutoka ujerumani pia ninahitaji kuagiza sungura kutoka newzealand kwaajili ya kufuga. Naombeni mnisaidie ninawezaje kupata viumbe hao toka nchi tajwa. Kuna kampuni...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Lipi soko zuri kununua bidhaa kati ya ebay na amazon?kwanini?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni topic nimeikuta huko Mahusiano na mapenzi. Nimesikitika sana kuona watu walivyokosa maaraifa na upeo. Eti mtu anaamini kujiajiri it is a waste of time. Ndo maana dunia ina matajiri wachache...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa. Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa...
4 Reactions
99 Replies
19K Views
Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka kadhaa iliyopita. Teknolojia ya mawasiliano imekua kwa kiasi kikubwa, kinachosababisha urahisi wa kupata taarifa kwa urahisi na haraka. Huduma ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Features: -Exellent 5mp camera. -Front camera -Whatsapp -3G Battery life. Offline: 2days Online: 16 hours * VERY GOOD BATTERY. * Charger available *VERY GOOD CONDITION!! Sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Features: -Exellent 5mp camera. -Front camera -Whatsapp -3G Battery life. Offline: 2days Online: 16 hours * VERY GOOD BATTERY. * Charger available Sababu ya kuuza: nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Mohammed Dewji is the third generation of a family of successful Tanzanian entrepreneurs. Over the past decade, as CEO he has grown his family's business from a national trading house to a...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hello, natumaini wengi wetu tuko na amani, tuko salama, Pole kwa wagonjwa wote popote Tanzania na nje pia!! Nataka kusema kidogo sana juu ya kwanini Consultancy firm zipo. Nazungumzia kampuni au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napata Center - a new shopping center is opening soon off Morogoro Road. Shops to let inside new Family Shopping Center right on a main road. The road is the new shortcut bypass between morogoro...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakuu. Bei ya mafuta imeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye soko la dunia. Kwa kawaida bei ikishuka huchukua muda kuleta mabadiliko hapa nchini. Lkn ikipanda tu utasikia kesho na wanapandisha. Na hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii naomba msaada kwa mtu mwenye utalaamu au aidia kuhusiana na aina yoyote ya mashine za kuchimba visima ambayo inafaa kibiashara kwa ajili ya kuwachimbia watu kama biashara yenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Tar 11, November 2014 kutakuwa na mkutano unahusisha sherehe za uzinduzi wa kampuni ya Kimataifa ya Trevo na kutoa fursa ya biashara kwa watakaopenda kufanya biashara na kampuni. Kampuni inaitwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hbari zenu ndugu zangu. Nilihamasika juzi kati nikapost bidhaa yangu huko Alibaba. Sasa suala ni kuwa nimepata prospective client anataka mzigo huo lakini kwa kiwango kikubwa kuliko hata uwezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wanajamii wenzangu, naomba kuuliza kama kuna yoyote anayejua zinapopatikana materials za mckenzie,ninachomaanisha zinakotoka coz najua Kariakoo na pale mtaa wa Kitumbini hizi...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza hivi, nitumie kifaa gani kugundua madini chini ya ardhi?
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Wadau, Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe...
3 Reactions
62 Replies
15K Views
Hivi kwa mfano nimenunua shares za kampuni kama Apple au Microsoft au GE, Leo jumatatu, na nimespend dola 10,000 Kisha baada ya mwezi thamani zimepanda sana na value yake ni dola 100,000 Je...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupitia uzi huu tujadili uchumi wetu Wa Tanzania, Kwa kuazia kabisa naomba wananchi wenye upeo wa hali ya juu, ili kuiwezesha mada kama hii kuwa tamu na nzuri, 1,Naomba kufahamishwa, ni wilaya...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Back
Top Bottom