Msaada wa mawazo namna ya kuanzisha chekekechea( english medium) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo namna ya kuanzisha chekekechea( english medium)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHIMPONGO, Sep 15, 2012.

 1. C

  CHIMPONGO Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna huduma hiyo katika haka kamji.
  sasa wadau naombeni msaada wenu wa taratibu za kisheria ili uruhusiwe kuanzisha, pia mtaji wangu ni mdogo ka m 6 na nataka nianze kwa kukodi jengo. Je nikiaanda b/plan ni mashirika gani yaweza kunisupport?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2014
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Duh hili wazo limenijia leo

  Nikadhani huu uzi.wadau wameupitia kujibu...
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2014
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni shule kamili kwa level ya chekechea, cha kufanya nenda kwa afisa elimu wa Wilaya akupe mwongozo wa nini cha kufanya, ni lazima isajiriwe ili usipate usumbufu huko mbele.
   
Loading...