Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana-JF natumai mko poa, Please naombeni msaada wenu juu ya kusafirisha/ kuingiza cement ya pakistan. Kwa kuanzia naombeni mnisaidie mambo yafuatayo; I) Ni kampuni gani maarufu inayoaminika kwa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari wana jf: Jaman kunatetes kwamba mwalimu akiagiza gari halipii gharama za bandari! hivyo inapita free! naombeni kujuzwa kwa undani! aksanteni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
THURSDAY, NOVEMBER 6, 2014Kenya says railway deal based on need, not meant to isolate Tanzania Print A sample of a standard gauge railway. The government says its decision to involve Uganda...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa Mujibu wa sheria ya makampuni ya mwaka 2002, vifungu vya 128, 132 na 438 kila kampuni iliyosajiliwa Tanzania inawajibika kupeleka taarifa za mwaka ikiwa ni pamoja na taarifa za mahesabu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani mimi huwa nawashangaa viongozi wafugaji hasa wa kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa. Enzi za mwalimu kulikuwa na viwanda vya nyama, viwanda vya maziwa na viwanda vya ngozi na viwanda vya...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Uganda is planning to invest in a new housing project to ease housing demand tension. Read further on the project details from here.
0 Reactions
0 Replies
810 Views
SHARE BOOKMARKPRINTRATING President Uhuru Kenyatta and Safaricom CEO Bob Collymore aboard a matatu which took them from State House to KICC Wednesday to attend the launch of universal...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf, Ningependa kufahamu faida za kununua shares kwa sababu natamani kununua lakini sielewi vizuri nafaidika nazo vipi hasa hasa kwenye mfuko wa Umoja UTT na SWALA. Mawazo yenu ni ya...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
BUSINESS ACTIVITIES IDEAS:::: 1.Mining and quarrying of asbestos, mica, quartz, gem stones, abrasives, asphalt and bitumen, other non-metallic minerals, n.e.c. 2 Slaughtering, preparing and...
6 Reactions
11 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua nauli ya ndege za FAST JET kutoka Dar-es-salaam hadi MWANZA ni shilingi ngapi kulingana na daraja?....alafu unachukua mda gani kupata tarehe ya safari tangu siku mtu alipo-book...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Hivi karibuni TBS wamesambaza vijana wao kwenye vituo vya forodha ili kuhakikisha bidhaa zinazoingia zimekaguliwa kwa ubora. Vituo hivyo ni pamoja na 'yards' za magari maarufu kama bandari kavu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
So what do you do to keep yourself motivated?
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Wakuu, Wasalaam. Naomba msaada kwa yeyote anayejua. Nimeagiza Daihatsu Terios Kid ya 2000 kutoka Japan. Bei yake ni pamoja na usafiri, inspection na marine insurance ni US$ 2350. Tatizo lipo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ni mradi mkubwa kabisa kutokea katika shule za sekondari nchini Tanzania. Chanzo cha mapato ya mradi ni kukamuliwa wananchi. Kwa sasa hatulali huku vijijini Mgambo na Askari Polisi wanatusaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naona watu wanapeanza namna ya kufanya biashara, kujenga, biashara ya kilimo, mayayi, kuku, uchawi na mengineyo Mimi nataka kujua namna rahisi ya kuhamisha pesa nje ya nchi baada ya kupiga dili...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Hivi hizi apps za kwenye simu kama za mabenki etc Zina cost kiasi gani kutengeneza na je kampuni za nje ya Tanzania zinaweza kutengeneza application kwa kiasi gani? inalipa?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Salaam kwa wanajamvi, Tafadhari naomba kusaidiwa kupata gear box mpya ya Pick up Hilux(automatic au vinginevyo) ya kipindi kati ya mwaka 2006 hadi 2014.hata kama ikipatikana ya isuzu coster siyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jukwaa hili naomba msaada kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kujua kiwango ninachotakiwa kulipa Road License pamoja na penalty kwa sababu mda umepita kawaida huwa nalipa mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
WanaJf. Swala la ajira limekua ni changamoto kubwa sana.Na mbaya zaidi ni kwamba hata vijana wakiamua kujiajiri bado wanakumbana na changamoto mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau, leo narudi kwenu na hili swali?? Je kuna uhusiano gani kati ya biashara na mikopo?? naaamini limepatwa ulizwa hapo kabla coz jf ina kila kitu?? but ningependa kupata knowledge na mawazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom