Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba niende chap kwenye point yangu. Nimekuwa mzoefu na sehemu za mgodi kwasababu pia nimefanya kazi mgodini,huko buana kuna fura nyingi ambazo zina ela nzuri tu. Mfano kwa mtu abaeweza...
14 Reactions
34 Replies
5K Views
Sikiliza, kuna maneno ambayo yamekuwa yakizunguka sana kwenye mitandao siku hizi – blockchain, crypto, Bitcoin. Na mara nyingi, watu wanavyosikia haya mambo, wanahisi ni kwa ajili ya matajiri au...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko...
2 Reactions
1 Replies
531 Views
Habari yako mwana jf Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu, Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata...
10 Reactions
188 Replies
5K Views
Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe? Ili brand yako ikue ni lazima upate wateja wapya na wateja waliopo waendelee kufanya kazi na wewe. Huwa natumia hizi njia kumfanya...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
📦🌸 Fursa ya Biashara kwa Wauzaji wa Sanitary Pads – “Fly Free” kutoka China! 🌸📦 Tunawaletea bidhaa mpya ya sanitary pads za ubora wa hali ya juu zinazofahamika kwa jina la Fly Free, zikiwa na...
0 Reactions
3 Replies
378 Views
SOKO LA NYUMBA NCHINI TANZANIA; (RESIDENTIAL MARKET) Soko la Nyumba nchini Tanzania limetawaliwa na Wamiliki binafsi (Wananchi) wa Tanzania na Mashirika ya Umma(NHC, NSSF na TBA). WAHUSIKA...
1 Reactions
3 Replies
670 Views
Wakuu habari ya Jumapili; Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau napenda kujua kwawale wajuzi na wazoefu wakununua mazao hasa ya biashara kutoka kwa mkulima na kuwauzia walaji na wahitaji. Napenda kujua Sana kuhusu KITUNGUU, tikiti, tangawizi na...
1 Reactions
21 Replies
29K Views
Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni. Kitendo Cha kutojua Kufanya hicho kitakukwamisha sana kupiga Hatua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika makadirio ya mataifa yenye uchumi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2024,Taifa letu linashika nafasi ya 10. Nimeweka orodha ya hizo nchi 10 na chanzo kikubwa cha uchumi wa nchi husika. Pia...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Vijana wanakuja kuomba kazi kwa heshima zote — mikono nyuma, wakionyesha upole, unyenyekevu, macho chini. Unaona kabisa huyu kijana ana kitu kuanzia potential, nia ya kufanya kaz, na kweli...
25 Reactions
88 Replies
4K Views
Ndio! Kuna website kama victoriaboost.shop zinazokuruhusu kununua followers kwa bei ya chini kabisa, kisha kuwauzia wateja kwa bei ya juu. Unapata faida papo hapo. Lakini unahitaji kujifunza...
0 Reactions
4 Replies
495 Views
Nidhamu ni uwezo wa kujihamasisha hata bila msukumo wa nje. Ni nguvu ya asili toka ndani yako. Bila hii nguvu hutafanya chochote. Hutegemei mtu ili ufanye. Unafanya si kwa sababu unajisikia bali...
4 Reactions
6 Replies
519 Views
Habari wana Jamii, naamin weekend inakwenda vizuri. Nimekuwa nafanya Biashara ya kuuza vifaa vya Ujenzi kwa muda kidogo ila sasa hv natamani kuanza biashara ya kununua na kuuza cement toka kwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kabla sijaeleza jinsi Sriracha inavyopoteza pesa ngoja nikupe background fupi ili uelewe Sriracha ni nini. Mwaka 1979 wakati vita ya Vietnam imeshamiri, watu wengi walikua wakikimbia Vietnam...
3 Reactions
2 Replies
397 Views
Bei ya jumla. Kuhusu location usiwaze ninaweza kukusafirishia ulipo. Bei ipo vipi mjini Dar?
1 Reactions
15 Replies
778 Views
Ushauri wetu sisi gen Z kwa wakubwa zetu (30+) Usisubiri hadi ustaafu eti ndio uanze kutuuliza humu, nimepokea kiinua mgongo nianzishe biashara gani. Disclaimer: Mapenzi yafutwe. Uzi tayari
7 Reactions
13 Replies
557 Views
GT HIi ndo ilkuwa nafasi yangu pekee yakuwa billionea hapa mjini. Nakumbuka nikiwa na rafiki.yangu tulikuwa kila siku tunsoma na kufuatilia graph za crypto na uwezo wa kununua tulikuwa nao...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom