Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Natafuta mtu wa kunifanyia mentoring or coaching katka harakati zangu za kuanzisha pre-primary school and hatimaye primary school. Ataifanya kazi hiyo tangu naanza mradi hadi tuhakikishe mradi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha. Wakuu mimi nina pesa lakini sina idea nzuri ya biashara na kuna watu wengine humu jamiiforums wana...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana jf hebu tusaidiane ni kwa nini hii nchi makampuni yanapora mali za wanyonge kwa jeuri kubwa na hakuna wa kuwasemesha? Ni hivi, nilkuwa na salio la tshs. 2,943,040 kwenye line yangu ya voda...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Mimi ni muhitimu wa shahada ya chuo kikuu toka 2012, nimeomba kazi kwenye taasisi na makampuni mbali mbali nikakosa, nikaamua kurudi kijijini kwetu Mpitimbi wilaya ya songea mkoani Ruvuma na...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Nimeomba card yangu iwezeshwe online purchase mwaka 2014 nikawezeshwa then nikaenda Bank kui-undo hiyo service,nikataka huduma tena ya kuwezeswa kard ikagoma nikajaribukuwaona na kupiga simu mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MultiChoice Africa ina furaha kuwatangazia kuwa imezindua kifurushi kipya maalumu kwa watanzania. Kifurushi hiki kimetengenezwa mahususi kwa watanzania kikiwa na chaneli zaidi 65 za kitaifa na...
7 Reactions
52 Replies
18K Views
Ndugu zangu kwa kuwa sisi watanzania huwa ni watu wa kusaidiana kwa hali tofautitofauti kulingana na uhitaji wetu, nami naomba msaada wenu kwa anayejua. 1. Ni zao gani la miezi mitatu linalimwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiangalia makampuni mengi kuanzia tbl, na mengineyo mameneja wake ni wachaga. Nashindwa kuelewa kwa ajiri ya nini . Nimejaribu kuuliza watu mbalimbali majibu wanayonipa kwa kweli siridhiki nayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mahitaji yote ya Nafaka kama mchele, Mahalagwe, Ulezi, nk pia na bidhaa zake kama Unga wa Sembe na Dona naomba tuwasiliane kumbuka tunauza kwa jumla pia mzigo utafikishiwa Mpaka ulipo. Sim no...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ABOUT NEPTUNUS / KUHUSU NEPTUNUS COMPANY LTD Imeandikwa na AKILIMALI, NEPTUNUS ni pharmaceutical organization iliyoanzishwa mwaka 1989, na mmiliki wake ni tajiri wa kwanza nchini china na ni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hivi sasa bei ya mafuta kwenye masoko ya dunia imeshuka kufikia dola za marekani kati ya 40 na 50 kwa pipa moja ambapo ushukaji huo ni zaidi ya nusu ya bei ya awali, hii imechangiwa na uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je, unataka kuanzisha biashara ya kuuza mitumba? Nimebahatika kupata uwakala wa mitumba kwa mwenye kuhitaji kuanza biashara hiyo iwe kuuza nchini ama kusafirisha mikoani anaweza kuwasiliana nami...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katika jukwaa hili nimeona na kujifunza mengi..kitu ambacho naona na ambacho kipi kwa wengi sio hapa JF tu ni uthubutu. Nchi zilizoendelea zimefika huko kwa watu wao kuwa na uthubutu, uthubutu wa...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu ni idea iliyoletwa humu na mtwa mkulu kwamba vijana wa kitanzania wasio na ajira wasimame kupoteza muda kwa kujitembeza huku na huko kwa kutafuta ajira, badala yake tuunde organisation...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanaJF. Nataka kuingia kwenye biashara ya Hisa, lakini sina ufahamu zaidi kuhusu soko la Hisa. Ningependa kufahamu mimi niliyeoko mkoani nitanunuaje Hisa za DSE na natakiwa kuwa na kiasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Mimi najitokeza ninahitaji ushauri kutoka kwenu wa kibiashara. Nina nia ya kuanzisha biashara ya nguo sababu binafsi napenda mavazi na nina jicho la kuona vitu vizuri...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Nakumatt Supermarket books space in Dar es Salaam mall Nakumatt plans to open a new store in Dar es Salaam, Tanzania. FILE PHOTO | NATION MEDIA GROUP By SIMON CIURI Posted Thursday, January...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NSE ranked third best performer in Africa SHARE BOOKMARKPRINTRATING Nairobi Securities Exchange was ranked third best performer in the region after Tanzania and Uganda. PHOTO | FILE By...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAIROBI, KENYA: Bharti Airtel, has announced a significant reduction in data roaming rates by 78 per cent and call rates by 60 per cent for its prepaid and postpaid customers while roaming in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom