Biashara ya Mitumba kutoka Canada

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Je, unataka kuanzisha biashara ya kuuza mitumba? Nimebahatika kupata uwakala wa mitumba kwa mwenye kuhitaji kuanza biashara hiyo iwe kuuza nchini ama kusafirisha mikoani anaweza kuwasiliana nami kwa PM.
 
Kwa wale wanaotaka kuwasiliana nami kuhusu mitumba wanaweza kuniandikia direct kupitia e-mail yangu.Mimi sipo Tz naishi Canada hivyo, kwa mwenye kutafuta mitumba ajue gharama za ununuzi, kusafirisha na ushuru kwa hapo Tz ni juu yake. Nachoweza kusaidia ni kuipata mitumba ya aina zote toka kwa wasambazaji (suppliers) wa hapa Canada na USA ambao wanataka volume kubwa ya uagizaji.
 
Hizo gharama si ndio uziweke hapa tuzione sio volume volume . Kuna siri gani sasa ya kushindwa kuweka gharama ata wasioijua hii biashara wakajaribu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom