Naomba ushauri wako

YUSHIN

Member
Feb 11, 2012
59
7
Mimi ni muhitimu wa shahada ya chuo kikuu toka 2012, nimeomba kazi kwenye taasisi na makampuni mbali mbali nikakosa, nikaamua kurudi kijijini kwetu Mpitimbi wilaya ya songea mkoani Ruvuma na kuanza kulima mahindi na kuyauza kwa takribani miaka miwili nashukuru Mungu katika kilimo nimepata faida million nne(4,000,000/-)ambayo nilikuwa nahifadhi banki, sasa nataka nianzishe biashara ambayo inaweza kunipatia faida nzuri, ila kilimo ntaendelea nacho kama kawaida, shida ni kwamba kilimo faida yake ni ya msimu hadi msimu. Naomba ushauri wenu ni biashara gani naweza fanya iweze niingizia kipato badala ya kusubiri faida ya msimu?
 
boresha biashara ya kufungasha unga nakuuza maeneo yasiyo na tija kwenye kilimo cha Mahindi
 
Back
Top Bottom