Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau mambo vipi? Kwa wale wenyeuzoefu na taalumu katika swala la makampuni ninaomba nijuzwe ni jinsi gani ninaweza fungua kampuni na taratibu zote zinazotakiwa pamoja na mambo ya share holders..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KENYA YAWEKEZAJI DOLA ZA KIMAREKANI, MILIONI $1.685, TANZANIA, KATIKA MIRADI 518 KUPITIA KITUO CHA UWEKEZAJI. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za mchana huu wana jukwaa, poleni sana na mikikimikiki ya siasa, nahitaji mtu ambae anafaham microfince yoyote ile yenye masharti nafuu kidogo kwa mkopaji, ntashukuru sana kwa atakae nipa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanandugu.....hivi ule mradi wa kuzalisha over 2000MW za umeme kwenye stiegler gorge iliyoko mto rufiji umefikia wapi? kulikuwa na wakati everyone was so excited and talking about it...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
USDJPY = Buy AUDJPY = Buy CADJPY = Buy CHFJPY = Buy EURJPY = Buy GBPJPY = Buy NZDJPY = Buy NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD went north last week, closing above the support line at 1.1350. This seems to have ended the recent choppy...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Kama una CRDB Visa Card, na ulikuwa unafikiria kuitumia kwenye internet, basi usithubutu kutia sahihi kuiwezesha kutumika mtandaoni (ila kama tu unajua unachokifanya). CRDB wametoa card mpya...
0 Reactions
85 Replies
23K Views
Nikiwa kama mteja napenda kuipongeza Benki ya CRDB kwa kuazimisha kwa mafanikio wiki ya huduma kwa wateja. Pamoja na kuwa na mambo mengi lakini suala la kutukaribisha kwenye matawi kwa bashasha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habarini wadau wa maendeleo nahitaji kujua jinc ya kununua mgod wa gold or spino hapa Tanzania; nimejaribu kufwatilia mtandaoni lakini hakuna details za moja kwa moja naomba mnipe uzoefu wenu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
AUDJPY = Buy AUDUSD = Buy EURAUD = Sell AUDCAD = Buy AUDCHF = Buy GBPAUD = Sell AUDNZD = Buy NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
wakuu naomba kufahamishwa. je,ninaruhusiwa kuifungasha upya kwenye mifuko yenye nembo yangu bidhaa iliyotengenezwa na kufungashwa na mtu mwingine? mfano nanunua bidhaa iliyosindikwa na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni bank gani inayotoa mikopo kwa masharti nafuu? Na riba nafuu?
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Hi wadau. Je unajua mtu au kampuni ya uhakika inayosafirisha mizigo from INDIA to Dar es salaam na kama ndio na charges zao kwa CBM inakuwaje. Rgds mama dunia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka nijijengee ufahamu wa stock trading kwa kuanza kununua na kuuza stock chache. Nimeshajiunga na online platform ya DSE. Swali langu ni, ukitaka kucash-in (ie. kuuza share unazoshikilia)...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
NHC hakika tunawapongeza,lengo kuu ya baba wa taifa kutaifisha nyumba hizo ilikuwa ni kurudisha mali yenu ambayo iliporwa na hao.Sasa mimi nina taarifa kuwa mnataka kuuza nyumba za NHC kwa...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Ningetamani kuwe na mpango mahsusi wa kushusha bei ya Gesi na kuisambaza ifike Vijijini ili tupunguze uharibifu wa misitu.Naamini tunaweza pia kusimamia Shirika letu la umeme liwe na faida na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kuna gari langu la Suzuki Carry niliagiza toka Japani mwezi May mwaka huu na nikaliweka barabarani baada ya kwisha kulipia kodi zote. Hivi majuzi gari langu lilikamatwa na watu wa...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
zaid ya 50% ya magari tunayonunua mikononi mwa watu (yaliyotumika Tanzania) ni ama ya wizi ambapo umiliki/Title holder sie anaekuuzia hata ukienda TRA hamna details za mmiliki wa sasa. Ewe Mnunuzi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wenzangu wa Business and economics? Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu, mwaka huu huu wa 2015. Nahitaji kujifunza biashara hii ya madini, ununuaji na uuzwaji wake ili baadae nione...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka natafuta kampuni yoyote inayohitaji mtu wa kusimamia masoko nifanye kazi kwa kujitolea mpaka january. Nina uzoefu mkubwa na local makert kwa zaidi ya miaka...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom