Natafuta Partner wa kushirikiana naye katika biashara ya Madini ya viwandani (Industrial Minerals) Nina kampuni na ninafanya kazi ila order ni kubwa hivyo nahitaji mtaji wa nyongeza. Opportunity...
Habari.
Tigo wanaomba wateja wake radhi kwa tatizo la mtandao lililotokea jana.
Tuma message yenye neno BURE kwenda 15304.
utapata dk 10 sms bila kikomo na mb 10 za kutua leo tuu..
Changamkia...
Habari!
Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya kuunganisha wajasiriamali/kampuni ndogo na za kati na wawekezaji (investor)/investment company ili kuwawezesha ku access capital kwa ajili ya...
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
EURUSD was volatile for most past of last week, and there is not yet a strong directional movement, though the bias is...
Habari zenu,
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia...
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold has been trending downwards for several weeks, with intermittent rallies along the way. The intermittent rallies were sometimes strong enough to threaten...
Habari ndugu,
Tuna kampuni inayojishughulisha na mambo ya catering services. Imesajiliwa na vibali vyote vipo current. Kama heading hapo juu nahitaji mtu wa kunisaidia masoko na usimamizi wa...
You can't congratulate yourself on your wins. Just like you can't despair over your losses. Success is not one event. Too many one-hit wonders realized this too late. James Altucher
This...
Seminar Itakuwepo Mwanza Siku ya Jumapili tarehe 04/10/2015.
Muda saa9 Alasiri
Mahali: Gold Crest Hotel Ukumbi wa Mandela
Fika Mwanza Ukumbi wa PPF ULIZA GOLD CREST HOTEL.
Kwa maelekezo zaidi...
Unaweza kufanya hivi kwa kumiliki mradi mdogo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji!
Naitwa fredrick seba, nakaa banana ukonga najishughulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji pure, machotara yake na...
Habari,
Ninahitaji mkopo wa haraka na ninarejesha pesa ndani ya wiki moja pamoja na riba nzuri tu. Unanipa 200k ninakurejeshea 250k ndani ya wiki moja.Tunaandikishiana kabisa na endapo utahitaji...
Habari wana JF
Nina bidhaa za nyanya na Uyoga so natafuta solo LA kuhudumia nipo Dar es salaam. Ni nyanya nzuri na Uyoga ni mzuri sana. Kwa anayetaka ani PM.
Habari wana jamii...
Sikuweza kusomea masuala ya biashara kutokana umaskin wa familia. Na ningependa kwa anaefahamu masuala ya kusimamia biashara nini kinatakiwa napenda niwezeze isimamia...
Ni vyema ukawa na muonekano mzuri ili Uvutie na katika biashara yako. Karibu nikupendezeshe. Kwa kuwa uko busy mimi nitakufuata nyumbani au ofisini kwako na kukupendezesha kwa kukuletea vipodozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.