Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kupitia video yake ya youtube anasema jifunze kutumia “Njia Kuu Nne za Kukuza Biashara” mbinu zinazotumiwa na wafanyabiashara waliofanikiwa kote duniani. Tumia njia hizi leo na uanze kuona matokeo...
1 Reactions
0 Replies
555 Views
Wanajamvi, salaam. Mimi ni mdau mwenzenu kwa takribani miaka 12 sasa, naomba leo niwashirikishe jambo langu, nimekuwa na ndoto za kuwa Mwekezaji kwenye mali isiyohamishika (real estate). Kwa...
1 Reactions
3 Replies
319 Views
Comment ni hipi we wahitaji
0 Reactions
3 Replies
322 Views
Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na...
1 Reactions
0 Replies
246 Views
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa. Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu 1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea 2. Self na zinajitegemea Maji uhakika kabisa (...
1 Reactions
22 Replies
868 Views
Wapendwa, ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine. Toa mji wa mamwinyi TANGA
7 Reactions
289 Replies
131K Views
Wakuu kwema nikiwa Kama kijana ninae jitafuta naombeni mwongozo ili niweze kusajili jina la biashara. Nina mpango wa kufungua huduma za kifedha japo mtaji Bado sjafanikiwa kupata. Nina leseni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
We’re so excited to share this moment with you! ❤️✈️ Air Tanzania will start to fly direct from Dar es Salaam 🇹🇿 to Lagos 🇳🇬from 15th August, 2025. To us, this is more than just a flight route...
1 Reactions
1 Replies
537 Views
Kiburi cha mafanikio ni adui wa maendeleo ya muda mrefu. Ukishindwa, shuka. Jifunze. Jenga tena. Kwa unyenyekevu. Wafanyabiashara wengi mitaji ikishuka wanataka kukopa kwasababu wanataka wawe na...
2 Reactions
4 Replies
354 Views
Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa...
2 Reactions
0 Replies
301 Views
Watu wengi wana ndoto ya kuwa na kampuni yao, lakini wachache hufanikisha hilo. Sababu kuu ni kukosa maarifa sahihi kuhusu taratibu za kisheria, gharama zinazohusika, na majukumu yanayoambatana na...
2 Reactions
2 Replies
614 Views
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA VETA AMBAZO UKISOMA UNAWEZA KUZIBADILISHA KUWA WAZO LA BIASHARA Unapojifunza moja ya kozi hizi kutoka VETA, hupati tu ujuzi wa ajira – unapata nafasi ya kuanzisha...
1 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari wana JF. Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo. Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa, Ntafuta wateja wa mafuta ya Alizeti. Yeyote mwenye kujua soko zuri la mafuta haya naomba tuwasiliane.
0 Reactions
31 Replies
7K Views
......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi. Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni...
5 Reactions
7 Replies
515 Views
Samahani naombeni kuuliza nimemaliza chuo nataka kufanya biashara ya vijora kutembeza mtaani mtaji 150k nianzaje wazoefu
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutengeneza sausage ya nguruwe nyumbani ni rahisi ukiwa na viungo sahihi. Hii hapa ni njia rahisi: Viungo: 1 kg ya nyama ya nguruwe (mafuta na nyama, iliyo sagwa) 1 kijiko cha chai chumvi 1...
2 Reactions
12 Replies
693 Views
kuna jambo moja linaweza kukuinua na kukutofautisha kwa haraka sokoni, LOGO ya biashara yako. Hii si tu picha ya kupendezesha bidhaa zako, bali ni silaha muhimu ya utambulisho, uaminifu, na kinga...
2 Reactions
3 Replies
514 Views
Wauzaji wa kemikali Tanzania 📣 ISMANI CHEMIST WEEKEND CHALLENGE 🔬🏆 Kila Weekend | Zawadi kwa Washindi | Maarifa & Ubunifu Ismani Company Limited tunakuletea "Weekend Chemist Challenge" –...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…