Habari wanabodi, shida yangu kubwa ni kujua namna biashara hii ya ukoboaji ngano, kusaga na kupack kwenye mifuko na kuuza hapa bongo inavyoenda.
1. Ikiwemo changamoto ya kupata Ngano, (bei yake...
Nina Contract ya kazi as independent Consultant katika sekta ya ujenzi, nimepata changamoto ya fedha kuendelea na hii kazi kwa kiasi fulani nimekwama, nafikiria kuomba mkopo bank wa mda mfupi...
Vijana wenzangu, kuna kampuni ina husika na masuala ya miradi na biashara ukiingia kwenye website yao utaona. kama una mtaji na unataka kujua biashara nzuri au mradi mzuri wa kufanya, ingia kwenye...
Wadau kwa wenye uzoefu wa hii biashara ya kukodisha magari hususani Noah naombeni mnipe uzoefu.
Je, ni kwa namna ipi naweza kutengeneza customer base. Pia ningependa kujua profit margin yake...
MAFANIKIO YAPATIKANAYO KUTOKA KATIKA KAMPUNI YA 4CORNER ALLIANCE GROUP(NETWORK MARKETING).
Biashara ya hii ya network marketing ni biashara iliyo katika mfumo unaokupa nafasi wewe mjasiriamali...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
Last week, EURUSD went downwards 110 pips, just as it was projected. There is a bearish signal in the market, which...
AdSense is great, and if you want to learn more about it read on.
But you should know, I actually make more money with affiliate marketing than AdSense. click here to sign up for my 5-star course...
Habari,
Ndugu wanajukwaa, nategemea wengi wetu tunaifahamu hii mifuko hasa tuliopo kwenye soko la ajira, watu wengi hasa tulio kwenye kampuni binafsi huwa tunapigia mahesabu michango unayoweka...
Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni...
Caymans rank third among foreign holders of U.S. debt
Hedge funds domiciled in Caribbean territory drive trend
Share on FacebookShare on Twitter
Share on LinkedInShare on RedditShare on...
Helen Keller alishapata kusema "Alone we can do so little; together we can do so much", na bwana Henry Ford yeye alisema "If everyone is moving forward together, then success takes care of...
Habari ndugu zanguni?
Kwa kawaida bei ya bidhaa ktk supermarket za Jeshi hutofautiana na bei za mitaani.
Mara yangu ya mwisho kununua sukari ktk supermarket zao ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 9
“As a trader, the brutal truth is that you only get paid for your results. There is no 'time and a half', or over-time rates. We live in a...
Kuna wimbi jipya hapa mjini linaniacha nacheka sana
Biashara imekuwa ngunmu sana na mzunguko wa pesa ni mdogo hivyo wafanyabiashara wengi wameanza kufunga baadhi ya biashara zao na kurudisha flem...
Wana JF, Salam zangu kwenu !
Tafadhali naomba kama kuna mtu humu JF amewahi kununua na kutumia mtambo wa SIMGAS kuzalisha gasi kwa matumizi ya kupikia nyumbani, atuambie ufanisi wake. Isije...
Global investors and funding institutions in control of more than US$200 billion US dollars will meet in Dar es Salaam in July for a three-day investment forum to explore business and investment...