mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
Kuna wimbi jipya hapa mjini linaniacha nacheka sana
Biashara imekuwa ngunmu sana na mzunguko wa pesa ni mdogo hivyo wafanyabiashara wengi wameanza kufunga baadhi ya biashara zao na kurudisha flem kwa wamiliki
Cha ajabu baada ya posho na safari kupigwa panga huko serikalin watumishi viakiba walivyokuwa navyo wamekimbilia kuchukua flem na kufungua biashara
Hahaha!! Nyie watumishi taratibu jaman! Ulizieni kwanza hali ilivyo huku kitaa msije ingia kichwakichwa mkajikuta mmepoteza akiba zenu