Mwongozo: biashara ya unga wa ngano.

Abra One

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
916
374
Habari wanabodi, shida yangu kubwa ni kujua namna biashara hii ya ukoboaji ngano, kusaga na kupack kwenye mifuko na kuuza hapa bongo inavyoenda.

1. Ikiwemo changamoto ya kupata Ngano, (bei yake na ni mkoa gani inalima zao hili kwa uwingi hapa Tanzania).

2. Soko lake (yaani unga wa ngano) likoje maana ngano uku mtaani ina bei kuliko unga wa mahindi.

3. Nifanye nini hili unga wangu uwe na ubora kwa mlaji??!.

Naomba nianzie hapo, karibu kwa mchango wako.
 
Biashara ya unga wa ngano unahitaji uwe na mtaji mkubwa,umejiandaaje kwenye mtaji??
 
Back
Top Bottom