Vipi bei ya sukari katika supermarket za Jeshi?

mwl. mziray

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
597
397
Habari ndugu zanguni?

Kwa kawaida bei ya bidhaa ktk supermarket za Jeshi hutofautiana na bei za mitaani.

Mara yangu ya mwisho kununua sukari ktk supermarket zao ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa sita ambapo nilinunua 1kg kwa sh.1550/= wakati huo sukari ikiuzwa sh.2000/= mtaani.

Naomba tujuzane kama huu upele unatuwasha sote au ndg zetu hawahusiki?
 
Back
Top Bottom