Ukiwapata mdereva waaminifu bora ununue boda 3kwa hesabu za haraka unaweza kupata wastani wa 150000 kwa wiki ikiwa kila moja inakuletea 50000kwa wiki ...ukizidisha mara mwezi utapata 600000 laki sita zidisha mara miezi kumi na mbili utakua na ml 7200000 fanya laki 500000 ni matengenezo utabaki na ml 6700000 kwa miezi kumi nambili pkpk bado ni mpya kiasi hicho ukipata nunua bajaji endelea kukusanya tena kwa mwka nadhani utakua uko pazuriWakuu heshima zenu,
Kipi bora kati ya kununua bajaji moja ya biashara au pikipiki tatu za biashara.
Naombeni mchongo wa mawazo
Nawasilisha
Nikiwa kama mdau wa Bodaboda hili la jama naliunga mkono kwa 100%Ukiwapata mdereva waaminifu bora ununue boda 3kwa hesabu za haraka unaweza kupata wastani wa 150000 kwa wiki ikiwa kila moja inakuletea 50000kwa wiki ...ukizidisha mara mwezi utapata 600000 laki sita zidisha mara miezi kumi na mbili utakua na ml 7200000 fanya laki 500000 ni matengenezo utabaki na ml 6700000 kwa miezi kumi nambili pkpk bado ni mpya kiasi hicho ukipata nunua bajaji endelea kukusanya tena kwa mwka nadhani utakua uko pazuri