JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Ninakuja jukwaani kwenu wazoefu nikiomba mnisaidie kujua changamoto za gari tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani
1 Reactions
6 Replies
962 Views
Nakujuza Ili siku nyingine ukiona hii usitoe macho kama Jamaa wa Masters aliyeapply kazi ya sensa na akakosa, kabla hatujafika mbali unatakiwa kujua unleaded petrol ni petrol isiyokuwa na kiambata...
26 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu, Baada ya kuhanya sana huku na kule na kuona mipango ya kuweza kujenga mjini kabla ya kununua usafiri inazidi kwenda kombo kwa upande wangu, Nataka nijilipue tu ninunue gari ya watu wa...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Wakuu nataka kununua mkweche na mm nimechoka kugongea magari ya watu ila budget yangu naona ni vizuri nikamiliki corolla sasa nimekuja kwenye mnipe ushauri kwamba kati corrolla X na Corrolla 111...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kufahamu Kwa wazoefu bei ya engine ndogo ya gari cc 1300 ya kwenye Corolla ikoje Kwa bongo.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenye pita pita zangu nimekutana na gari ya kwanza kabisa kusajiliwa kwa hapa nyumbani.. Haraka haraka inaonekana hii gari ni ya Mchaga.. AC ya kujaza.. Spare Tyre na spanner havipo.. Gear...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
wadau Nawasalimu. Naomba kujua ni TYRES za Brand gani ni nzuri IMARA na zina Ubora kufunga kwenye Gari.Sasa hivi kuna Tyres za MAKAMPUNI Mengi mpaka kujua Uimara na Ubora imekuwa Kazi sana ILA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Naomba kuuliza JF Kuna zile Gari mpya za IT zinapatikana maeneo Gani?? Mana nina safari ya kwenda Bukoba na nauli haitoshi kabisa! Naomba mnielekeze Bei Na eneo zinapopatikana. Niongezee Vipi...
0 Reactions
Replies
Views
Mwenye uzoefu na AUDI A3 2012 2.0 perfomance yake nahitaji kuagiza pia ni ipi site nzuri ya kuagiza gari hapa bongo ambao hawana ubabaishaji. AUDI A3 1.8 na 2.0 zipo vizuri au miyeyusho
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimejichanga kwa kipindi kirefu sasa nimeamua kutafuta kigari cha kutembelea cha kutosha familia ya watu 5 (me, ke& watoto 3) kisichozidi 10m. Binafsi sijui kuendesha gari na hata...
4 Reactions
75 Replies
19K Views
  • Redirect
Kwa wazoefu,naweza para gari gani ndogo Kwa 4.5ml inayoweza kutumika huku vijijini? Naombeni ushauri tafadhari.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa wazoefu naombeni ushauri gari gani Kwa 4.5ml naweza para Kwa matumizi ya Barbara zetu za kijijini? Naombeni uzoefu tafadhari.
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu habari, Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri...
1 Reactions
62 Replies
12K Views
Ndugu habari za jion, Kuna jambo nimeona tuambiane ukweli ili tuelimishane kidogo. Kuna watu watu wanaagiza magari nje kupitia agents au mawakala mbalimbali mbaya zaid kuna agents wengine sio...
69 Reactions
65 Replies
9K Views
Naomba kufahamu ubora wa hiyo gari tajwa hapo juu katika mambo ya ulaji wa mafuta pamoja na stability barabarani na ipi engine
1 Reactions
5 Replies
698 Views
Wakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Salaam waungwana Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana sasa kabla ya kufanya lolote ningependa kupata ushauri wenu wajuvi wa magari
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habarini wadau naomba kufahamishwa juu ya gari aina ya Toyota wish juu ya mafuta,u bora,speak na comfortable. Nawasilisha.
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom