Kama umeipenda nunua tu, kipendacho moyo hula nyama mbichiSalaam waungwana
Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana sasa kabla ya kufanya lolote ningependa kupata ushauri wenu wajuvi wa magariView attachment 493941
Shukrani mkuu unajua hapa bongo tumekaririshwa Toyota tu,ndio mana hizo gari zingine hatununui sababu ya vitishoKwan uzoefu wangu gari ambazo ni common ulaya ni ngumu na bora no wonder ulaya Nissan ina soko ila bongo ukinunua Nissan au audi kila mtu atakusemea yake.
Honda ni nzuri sana hata me naipenda crossroad ila sasa check bei yake na ushuru wake hapa Tz ni bora ununue RAV 4 kill time.
So tatizo ni bei yake tu me ndio naona spare zote ukiingia beforward unaagiza bila shida.
Hizi nimezipenda sana.Salaam waungwana
Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana ....
Changamoto nyingine kubwa, ni mafundi kaka. Hio nayo ni chanagamoto kubwa sana kwa sasa.Me nimemiliki Mazda miaka minne halikunisumbua mpaka nimeuza so nikipenda gari sifuati ushauri WA mtu ili mradi Najua spare yeyote naweza agiza online na inafika bila mizengwe kama zamani.So anaependa Honda au Audi ajinunulie,now nachanga nipate vijisent nipate Mercedes Benz C 180 gari nzuri zaidi ya brevis sema watu wanaliogopa sababu ya jina.
a big Easter laughter..... HAPPY EASTER mkuu maana sio kwa kunichekesha hukoYaani ukipaki gari unakuta na wengine wamepaki kama lako na rangi ile ile kasoro plate namba
Hizi nimezipenda sana.
Ndoa ya kikristoHiv unaweza kuagiza gari naukaipata ikiwa modified kama hivyo au lazima uzifanye mwenyew hizo modification
Kwa sasa naona zinazidi kujaa nchini, ni gari ambayo sijutii na ina heshima yake,na haina usumbufu kabisa popote unaenda