Nataka kujilipua na CARINA TI nisaidieni bei za yard Bongo

Udochi

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Messages
307
Points
250
Udochi

Udochi

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2015
307 250
Wakuu,

Baada ya kuhanya sana huku na kule na kuona mipango ya kuweza kujenga mjini kabla ya kununua usafiri inazidi kwenda kombo kwa upande wangu,

Nataka nijilipue tu ninunue gari ya watu wa uwezo wa chini tu,
Ambapo nitaisajili kuwa ya biashara ili niifanye Uber ambayo nitaendesha mwenyewe pindi nimalizapo mizunguko yangu binafsi (lengo ni kupata japo hela ya wese na services ndogondogo, badala ya kuipark tu).

Choice yangu ni CARINA Ti angalau ya mwaka 2001, yenye CC 1490.

Kwa nini CARINA Ti?
Kwa sababu nina lengo la kukaa nalo kwa zaidi ya minne (4) uzima ukiwepo na ikiwa halitapata hitilafu kubwa kwani inaonekana aina hii ni gari ngumu-

Na kwa kuwa uwezo na mpango wa kubadilisha ndani ya muda mfupi haupo,
Hii itanifaa kwani nitajikita sana kwenye kuzingatia zile services za msingi kwa wakati.

Sasa kwa kuwa sina imani sana kuhusu kununua ya mkononi kwa mtu (iliyotumika Bongo),
Naomba kwa wenye kujua mnijuze bei ya hiyo gari tajwa katika yard za Bongo na/au ikiwezekana gharama ya kuagiza (used from Japan) mpaka kuiweka barabarani.

(Kuhusu kupitwa na wakati/kutokuwa la kisasa- hilo nalifahamu, na halinipi shida)

Natanguliza shukrani.
 
Thelionden

Thelionden

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Messages
101
Points
225
Thelionden

Thelionden

Senior Member
Joined Apr 7, 2018
101 225
Gagharama zake kwa yard za hapa bongo kama sikosei ni around 10mil hadi 12mil kufuatia hali ya gari.
 
Thelionden

Thelionden

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Messages
101
Points
225
Thelionden

Thelionden

Senior Member
Joined Apr 7, 2018
101 225
Japo mm nilipata mkononi kwa mtu na inahali nzuri tu jamaa alikuwa anatafuta carina ya manual so akaniuzia hii auto.
 
Malimi Jr

Malimi Jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
703
Points
1,000
Malimi Jr

Malimi Jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
703 1,000
Kuna uzi niliusoma hapa JF kwamba wanaonunua CARINA ni mabahili wa kiwango kilichotukuka.

Mimi ngoja nizichange jet itanifaa sana kwa misele ya hapa na pale.
 
kifinga

kifinga

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,689
Points
2,000
kifinga

kifinga

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,689 2,000
Chukua TI mkuu ni gari ambayo ngumu na haishuki bei kama IST mkuu jiandae na milioni 11.5 hadi 12 unapata kisu kabisa ndani kinanukia harufu ile ya japan. Usisahau kwenda kwa dick sound magomeni kufunga mziki mkuu the rest enjoy life and welcome to the world. Alafu wale mademu wote waliokua wanakuzingua saizi utawagonja cha muhimu tembea na kondom kwenye gari mkuu.
 
B

Baba Jazey

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Messages
377
Points
500
B

Baba Jazey

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2016
377 500
ukiongeza hapo 6 yanii 16 unanunua Landrover discovery utakayotumia wewe na vizazi vyako vyote
mzee kweli hiyo discovery unaagiza au ya kununua kwa mtu? ntafurahi kama utanijibu
 
Mandingo

Mandingo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
3,963
Points
2,000
Mandingo

Mandingo

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
3,963 2,000
Chukua TI mkuu ni gari ambayo ngumu na haishuki bei kama IST mkuu jiandae na milioni 11.5 hadi 12 unapata kisu kabisa ndani kinanukia harufu ile ya japan. Usisahau kwenda kwa dick sound magomeni kufunga mziki mkuu the rest enjoy life and welcome to the world. Alafu wale mademu wote waliokua wanakuzingua saizi utawagonja cha muhimu tembea na kondom kwenye gari mkuu.
Huyu dogo Dick Sound namwelewa sana!
 
M

mob

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2009
Messages
2,263
Points
2,000
M

mob

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2009
2,263 2,000
Kwani kasema anataka atumie gari na vizazi vyake? Ye anataka atumie yeye tu inatosha.gari ya vizazi ya nini?
huwezi nunua gari then mvua zikinyesha unawaza nitapita wapi.Ukifanya maamuzi ya magari fanya utakayotumia miaka na miaka kusave some other cost. Gari iwe multi purpose
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
14,275
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
14,275 2,000
Chukua TI mkuu ni gari ambayo ngumu na haishuki bei kama IST mkuu jiandae na milioni 11.5 hadi 12 unapata kisu kabisa ndani kinanukia harufu ile ya japan. Usisahau kwenda kwa dick sound magomeni kufunga mziki mkuu the rest enjoy life and welcome to the world. Alafu wale mademu wote waliokua wanakuzingua saizi utawagonja cha muhimu tembea na kondom kwenye gari mkuu.
Carina mziki wa nn?
 
Forum statistics

Threads 1,334,878
Members 512,144
Posts 32,489,749
Top