JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Nahitaji Kagari cha mizunguko ya Mjini na Visafari vichache vya mikoani, Baadhi ya Maeneo nitakayofika yana Rough and Aggressive Roads. Hiki kisuzuki kina cc 1300 na kipo juu kiasi kwamba...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau. Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari. Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hizi Fuel injection cleaner zinasaidia lolote katika gari? Naomba ufafanuzi
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kipindi hichi barabarani si ajabu kabisa kukutana na magari kadhaa yamezima katikati ya barabara kwasababu ya kuishiwa mafuta. Hali hii husababisha ongezeko la foleni kubwa hasa kipindi cha...
4 Reactions
1 Replies
605 Views
Chunguza upepo wa gari yako #Roadlife.Tuendelee kukumbushana kuwa dereva ukiendesha lori lako jitahidi kuangalia geji zako zote mara kwa mara,tofauti yake ni kuwa madereva tunaangalia saana geji...
2 Reactions
2 Replies
556 Views
Wakuu hivi tofauti ya Landcruiser TX Vs TXL ni ipi?
6 Reactions
67 Replies
7K Views
Kama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Kuna jamaa alinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linamtesa kuliko maelezo. Amejaribu kuliuza kupitia madalali...
16 Reactions
113 Replies
15K Views
Wakuu 2021, Inshallah nimefanikiwa kumilik hii SUV. Nimejinyima for 11 good years kufanikisha hili. NB: Vijana jifunzeni uvumilivu katika kutafuta
49 Reactions
324 Replies
23K Views
Wadau naomba kujua gharama ya kupata vifaa tajwa hapo juu kwa wenye uzoefu na hiyo biashara tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
695 Views
  • Redirect
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za...
10 Reactions
Replies
Views
Msaada hapo wazee wa magari Eti usajili wa E umeanza rasmi?
1 Reactions
2 Replies
482 Views
Wakuu habari napata changamoto, napokuwa speed au mzunguko wa engine unapokuwa 3 na kuendelea gari yangu inakuwa inatoa mlio flani ambao kama kuna kitu kinasuguana. Mara ya kwanza nilienda kwa...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk. Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifatilia hili jambo kwa muda mrefu ila majibu niliyokutana nayo yasiyo na shaka ni kwamba elfu i, haipo kwenye usajili wowote wa magari hapa tz . Unaweza kukutana na alfabeti zoote ila...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari JF garage! Naomba kuuliza Mambo gani ya msingi Unatakiwa kujua Mara tu unapenda kununua Bajaj. Service Vifaaa Kama triangle na fire extinguisher. Na Mambo yote ya msingi hasa Bajaj ikiwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu .... Lengo la mapambabo nikuhakikisha kesho inakuwa njema kwa kika mmoja maana ndo ombi leti kila iitwapo leo . Naomba mwenye ujuzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Anayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom