Utitiri wa magari yaliyokata wese barabarani

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Kipindi hichi barabarani si ajabu kabisa kukutana na magari kadhaa yamezima katikati ya barabara kwasababu ya kuishiwa mafuta.

Hali hii husababisha ongezeko la foleni kubwa hasa kipindi cha asubuhi na jioni.

Wenye magari jitahidini kujaza wese la kutosha kufika destination yako, pia kupaki siku kadhaa mpaka pesa ya wese ipatikane sio dhambi.
 
Back
Top Bottom