JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wadau plug nzur za gar aina ya vitz old model ni bei gan
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi naomba msaada napata shida kuingiza gia gari nalotumia ni subaru SHJ 2010 forester Nimeangalia transmission fluid iko sawa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna michezo mingi watu huifanya hasa wanapotaka kuuza gari ,hapa wengi hufanya mchezo wa kushusha km ilinwaweze kuliuza garinkwa haraka, na kwa pesa ndefu. Wengi hufanikiwa kasheshe inakuja kwa...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Hivi bei ya trekta ndogo kama hii ni kiasi gani? Na kwa bilioni 300 tunaweza kupata matrekta mangapi kama haya?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Gari imezima Ghafla? Unaweza kufanya mambo machache wewe mwenyew pindi gari inapozima katika Hali ya kutotegemea kabla aujatafuta fundi. Kama upo barabarani au sehemu unayoziba njia sogeza gari...
13 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini za za usiku wana jf Nimekuwa nikiona watu kwenye majadiliano wanasema kwamba fuso tandem inabeba mzigo mkubwa kushinda scania kipisi hii imekaaje mbona scania kipisi ni kubwa kushinda...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, samahani kama wiki hivi nimekuwa napitia changamoto ya gari yangu kuwaka taa na kuzima hata kama nikiwa nimeizima. Hali hii imenilazimu nikiwa nazima taa nichomoe terminal...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Usibadili gari yako kutoka funguo ya kawaida kwenda push start..hii ni kwa sababu unapunguza usalama wa gari lako ambapo ni rahisi sana kuliwasha kwa kuunga waya tu Kwa kawaida gari inapotoka...
16 Reactions
24 Replies
6K Views
Ambae ameimiliki hii gari ,utumiaji Mafuta,Spea, comfortability yake,utulivu barabarani nk, M-barikiwe saana
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari! Siku hizi gari si anasa, ni kitu cha muhimu maishani. Asilimia kubwa tunatamani kumiliki vyuma hivi vya kutembelea. Hebu tupia Usafiri unaotamani kuwa nao maishani. Natamani sana siku...
6 Reactions
273 Replies
49K Views
Note: Uzi huu unawahusu tu watu ambao gari zao zina Immobilizer Kama una funguo inafanana na hizi hapa chini. Then kaa hapa usome. Ipo hivi.... Kuna baadhi ya malalamiko watu...
13 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu, Nini kinaweza sababisha gari kutoa moshi mwingi wakati unawasha gari? Hili tatizo limeanza karibuni, haikuwa na hiyo Tabia, moshi ni mwingi sana huwezi kupaki ukaja kuwasha mbele ya watu...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Nina gari ndogo ya kutembelea, gari hii ilianza kuwa nzito yaani ukiwa D lazima ukanyage mafuta ndio iondoke na vilevile ukiwa kwenye mpando inaishiwa nguvu na kuchemsha, nilienda kwa fundi...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Naomba kujua garage nzuri mjini mbeya kwa magari madogo.Au kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa magari madogo Mbeya mjini tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wakuu, napenda kujua gharama tajwa hapo juu tafadhali
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wana jf nasikia boxa zinakufa sana piston...rings...block Tena wazoefu wanasema hazirekebishiki zinatoa sana moshi, wengi wao zimewafia na wamezipak ndan. Pia service yake ni garama sana...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Kichwa kimemaliza maelezo yote kla hiyo easy diag au ikiwa full box diagnosis machine ya kupima magar madogo ya aina yote nicheki: WhatsApp: 0653271318. Au nipigie kawaida 0653271318. Karibuniii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Gari ni Specio New Model Tatizo ni kwisha kwa coolant ndani ya siku mbili, yoote inakuwa ndani ya rejeta. Kuhusu rejeta haichemshi ila unakubidi uweke maji kila siku au baada ya km 45 - 50 Tatizo...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom