Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Habari!
Siku hizi gari si anasa, ni kitu cha muhimu maishani. Asilimia kubwa tunatamani kumiliki vyuma hivi vya kutembelea. Hebu tupia Usafiri unaotamani kuwa nao maishani.
Natamani sana siku moja nimiliki Mercedes-Benz mf Jurassic model!
Sent using Jamii Forums mobile app