JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu nimetoka kuipenda hii gari lkn nasikia Zina shida Sijajua ipo wapi hii shida,,hata hivo naomba ABC ya hii gari cc 1750 injini 1zz,, AC ipoje?Spea zake na utulivu barabarani,pia kwa 9 m...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau nimependa hili gari la nissan fuga nataka kuagiza. je kuna mtu ana experience nalo kuhusu ubora wake. nataka lenye cc2500 hope mafta litakuwa linakula kama mark x au brevis ya cc2500. Naomba...
2 Reactions
55 Replies
14K Views
GENERATOR AND AIR COMPRESSOR SOLUTION We dealing with:- ■Generator ☆Selling generator Used and New ☆Preventive and Breakdown maintenances ☆Generator installation ■Air Compressor ☆Selling Air...
1 Reactions
0 Replies
434 Views
Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R0 Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna watu wanafikiri BMW X6 zile za beforward ndio toleo pekee la bmw x6. Imefikia watu wanaanza hadi kuipambanisha x6 na v8. Inabidi tuelewe kwa nini huyu mnyama ana heshima na vyeo kibao huko...
13 Reactions
101 Replies
11K Views
Msaada kwenye tuta, Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Mistubish colt (performance car) for sale meth kit installation Fmic installation Guages installation Android redio installation Otaku mapped tunned Jdm stearing wheel installation Xxxr rims...
3 Reactions
6 Replies
806 Views
Wana jf msaada tafadhali ...NIKIWASHA PIKIPIKI ASUBUH inatoa moshi mweusi kidogo kisha moshi unatoweka kabisa inarudi kwenye hali yake ..nini tatizo...nipo njombe kwenye baridi Tatizo linajitokeza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ? Swali ya yote kampuni ya Nissan ina toleo la gari linaloitwa Nissan Murano likiwa katika mfumo wa suv. Je yapi ni mazuri ya hii gari na kwa nini mtaani ni gari adimu licha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam, Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2 Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu! Kuna dhana,exaust kutoa matone ya maji kwa baadhi ya Gari unapowasha (Cold Start) kwamba inaashiria uzima wa Engine. 1. Je, kuna ukweli kwenye hii dhana? 2. Nini kinasababisha...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu Niende kwenye topic moja kwa moja me n kijana naenza maisha sina elimu sana na vyombo vya usafir ila kuna hz pik pik aina ya honda click nataman kununua kwa ajil ya trip town na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
hivi kuna watu humu wanamiliki private plate namba za gari, yaani zenye majina yao?? maana mtaani kugumu kwelikweli
2 Reactions
4 Replies
887 Views
Wajumbe naomba ushauri, Kuna watu huwa wanashauri kuwa unapokarbia kumwaga/kubadili Engine Oil basi uweke Engine Oil Flush dkk chache (wkt Gari inawaka) kabla ya kubadili Engine Oil, inasemekana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, nikweli sikuhizi plate namba D zinachongwa tu kihuni hata kama gari lilikuwa namba B. Inabadilishwa na kuwa namba D ili baadaye ikauzwe kwa Bei ya juuu? Naomba ufafanuzi.
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Yangu inatembea km 70 full AC, foleni za Dar es Salaam
0 Reactions
89 Replies
27K Views
Wataalam na wanajamvi naomba kuuliza usafiri gani imara zaidi kati ya honda fit au mazda demio maana katika gari ndogo zinazo uzwa zenye bei cheap maana nimetembea kwa miguu miaka mingi kwakweli...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau plug nzur za gar aina ya vitz old model ni bei gan
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi naomba msaada napata shida kuingiza gia gari nalotumia ni subaru SHJ 2010 forester Nimeangalia transmission fluid iko sawa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna michezo mingi watu huifanya hasa wanapotaka kuuza gari ,hapa wengi hufanya mchezo wa kushusha km ilinwaweze kuliuza garinkwa haraka, na kwa pesa ndefu. Wengi hufanikiwa kasheshe inakuja kwa...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Back
Top Bottom