Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

COCOLLAGEN --For a Beautiful Skin-A CHOCOLATE FLAVORED BEVERAGE ENRICHED WITH HIGH GRADE QUALITY MARINE COLLAGEN It provides elasticity and shape, giving skin its firmness as well as the ability...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Wadau eti lipi bora kati ya haya yafuatayo? kungonoka kwa kondomu kwa mwenza ambaye unajua ameathirika (mlienda kupima wote na majibu mkapokea wote) au kungonoka na kondomu na mwenza ambaye hujui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wapendwa, Jamani nisaidieni nataka kupungua tumbo! je ipo dawa ya kufanya hivyo? Nimefanya mazoezi ila sioni mabadiliko. Mimi ni mpenzi wa pombe ila sio eti mnywanji ile saaana. Kiasi tuu...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
nimepewa dawa za minyoo vidonge vitano hospital nimeambiwa nitumie mida ya asubuhi, ila mtoa dawa hajaniambia kama nitafune au vip..kwa upande wangu naona nimeze na maji bila kutafuna kama Bublish
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 27 sasa nipo Dar nataka nichukue likizo nisingizie nimesafiri nipo mkoani siku 10, kiukweli nataka niakondoe mkono wa sweta ninao hadi sasa hivi.Je ni hospitali gani naweza...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Wanajamii wenzangu! Kwanza niwatakie mapumziko mema ya kumalizia weekend. Tatizo kuu linalonisibu mimi, ni kuumwa sana hasa nyakati za baridi kiunoni na kwenye makorodani. Tatizo hili mara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nakojoa mkojo wa njano kila nifanyapo tendo, hata bila kondom bado tatizo lipo. Nombeni dawa please.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salam wote, nawaheshimu sana kwa ushauri muutoao, kwa faida yangu na ya wengine tafadhali wanaoweza kutueleza namna nzuri ya kulisha watoto wetu wenye birthday ya mwaka. Binafsi naumizaga sana...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Mara ya mwisho niliusoma huu ugonjwa wakati nipo shule ya msingi,zaidi ya miaka 20 iliyopita!! Huu si mwingine ni ugonjwa wa Tauni. Sijafahamu bado scientific name yake lakini ni ugonjwa...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Hello JF! What I am going to say and quote, might sound totally bizarre. But, it is scientifically tested and proven! Meet the Brazilian wandering spider 'Phoneutria nigriventer'. The genus...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni msaada wenu mdogo wangu wa jinsia ya kike katumia dawa za mseto kumbe alikuwa na mimba ya wiki tatu yeye hajui sasa amekua akilalamika tumbo kwa zaidi ya wiki mbili sasa toka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni nani anayeweza upata? IBS ni shida ya kawaida. Huwashika mtu mmoja kati ya watano. Huanza wakati wa ujana au kijana anapoingia utu uzima. Hata hivyo huweza kushika watu wa umri wowote ule...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
This article is one of three. Lakini hata hii moja wengine watafikiria it is too long. Kwa mantiki hiyo basi,tusiweke hapa speech za JK. ON THE END OF THE LINE The following is a small portion of...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba msaada maana tangu najiskia hali amvayo cjawahi kuiskia. Jilianza kujiskia km tumbo linavuta vuta jana na leo hii yaani sasa hivi naskia km kuna kitu upande wa kushoto tumboni.na hii hali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Madaktari wakimfanyia mtu upasuaji wa kurekebisha ukubwa wa titi KWA UFUPI Inawezekana hufurahii umbo ulilozaliwa nalo. Kama ndivyo sasa teknolojia hiyo tayari imeingia nchini. Miaka ya hivi...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
habar..wana jf? Najitokeza kwenu kuomba msaada nina mpenzi wangu anasumbuliwa na tatizo la kuvurugika kwa siku za kupata hedhi....je nn tiba yake na madhala yake...asante!!
0 Reactions
5 Replies
965 Views
Taking great care of your teeth—with daily brushing and flossing—may dramatically cut risk for Alzheimer’s disease, according to surprising new research. British scientists report finding signs...
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Wapendwa nisaidieni dawa ya kukata kuharisha kwa haraka.
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Kumekua na ongezeko la mabango kuhusu nguvu za kiume, napenda kujua tatizo ni wakaka hawawezi kazi au wadada wamekubuhu? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani kuna swala lanchanganya sana sana mwenzenu hapo awaliu nlikuwa mpiga puchu marufu sana takriban miaka kumi kwa kipindi hicho nlikuwa sijihusushi sana na mambo ya ngono sasa ikafika mahali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom