Kupunguza tumbo..

4X4byfar

JF-Expert Member
Oct 29, 2008
201
17
Hello wapendwa,

Jamani nisaidieni nataka kupungua tumbo! je ipo dawa ya kufanya hivyo? Nimefanya mazoezi ila sioni mabadiliko. Mimi ni mpenzi wa pombe ila sio eti mnywanji ile saaana. Kiasi tuu especially weekends. Asanteni.:embarrassed1:
 
Hello wapendwa,

Jamani nisaidieni nataka kupungua tumbo! je ipo dawa ya kufanya hivyo? Nimefanya mazoezi ila sioni mabadiliko. Mimi ni mpenzi wa pombe ila sio eti mnywanji ile saaana. Kiasi tuu especially weekends. Asanteni.:embarrassed1:

uwe unaenda haja kubwa wewe,acha huo uzembe
 
Hello Mr 4X4byfar! Ni vema emeweza kugundua umuhimu wa kupunguza tumbo na kuwa mwenye afya nzuri. Kwa kawaida uzito wa mtu unatakiwa uendane na urefu wake. Uzito wa mwili ukizidi hautakiwi kwa sababu hufanya mwili kulemaa na kushindwa kufanya kazi vizuri na mara nyingi hata mtu hujisikia kuchoka mara kwa mara na wakati mwingine hupenda kurelax zaidi mfano kupumzika kuliko kufanya kazi(siyo lazima itokee hivyo). Mwili ukiwa mzito husababisha matatizo hasa umri ukiwa umeshasogea ikiwapo kusumbuliwa na matatizo ya kwenye viungio na matatizo mengine kama mwili kushindwa kuyeyusha vizuri chakula ambapo nayo husababisha mengine. Kwa kutaka kuelewa kama wewe upo sahihi uzito kuendana na urefu fuata hii formula hapo chini

Calculation of BMI
BMI(Body Mass Index) is calculated the same way for both adults and children. The calculation is based on the following formulas:
Measurement Units
Formula and Calculation
Kilograms and meters (or centimeters)
Formula: weight (kg) / [height (m)][SUP]2[/SUP]
With the metric system, the formula for BMI is weight in kilograms divided by height in meters squared. Since height is commonly measured in centimeters, divide height in centimeters by 100 to obtain height in meters.
Example: Weight = 68 kg, Height = 165 cm (1.65 m)
Calculation: 68 ÷ (1.65)[SUP]2[/SUP] = 24.98


The standard weight status categories associated with BMI ranges for adults are shown in the following table.
BMI
Weight Status
Below 18.5
Underweight
18.5 – 24.9
Normal
25.0 – 29.9
Overweight
30.0 and Above
Obese

Kwa kuzingatia hiyo formula utaweza kujiweka sawa siku zote. Zipo njia nyingi za kuweza kuuweka mwili vema kiafya lakini nyingine zinakuwa ngumu sana kwa watu kushindwa kuzifuata kutokana na muda wao wa kila siku unaoweza kupatikana mfano wanaokwenda maofisini hukosa muda mzuri wa kwenda kwenye mazoezi pia wapo wengine wanaojitahidi kufanya kila mazoezi lakini bado hawaoni kama wanafanikiwa achilia mbali wale ambao huona uvivu kabisa na huona kama ni mateso kufanya mazoezi. Mimi napenda kushauri kuwa inabidi watu kuzingatia zaidi katika mazoezi na siyo lazima kwenda gym sbb hata kutembea umbali fulani kwa kila siku ni mazoezi tosha kwa afya. Ni muhimu pia kuzingatia lishe tunazozipata kila siku iwe nyumbani au nje na nyumbani. Kwa msaada zaidi napenda kuwashirikisha lishe muhimu na nzuri sana kwa ajili ya kupunguza uzito/unene na kufanya maisha yako kwenda vizuri. Lishe hii imeandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara katika afya na imethibitishwa kutumika duniani kote na hapa kwetu imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa. Imeweza kuwasaidia wengi sana kutokana wengi walikuwa wanashindwa kupungua kutokana na sababu moja au nyingine. Unaweza kufuatilia maelezo yake hapo chini kwa umakini zaidi.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX


Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;


  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;


  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.


  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;


  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX


  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com

Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 130
  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 117
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 112
mimi ni mmojawapo niliokuwa na tatizo la kitambi lakini kwa sasa kimepungua sana karibu asilimia 60 na kinaelekea kuisha kabisa na mategemeo yangu ni kuwa na six packs

ninachokifanya ni kila siku kabla ya kuoga asubuhi ninafanya mazoezi ya sit ups 100 kwa set ya 20 kwa mara 5.

Jioni kabla ya kuoga ninafanya mazoezi ya kulala chali na kufanya biycle cycling kwa mara 200- unafanya kama unanyonga baiskeli kwa kuinyanyua miguu mpk kwenye tumbo kwa mwendo wa kunyonga baiskeli

Inaumiza sana ila ndani ya mwezi mmoja tumbo linapungua lakini hutakiwi kuacha fanya hivyo muda mrefu utaona matokeo mazuri na utakuwa fit sana kiafya na kujisikia fresh siku nzima.

Hamna dawa zaidi ya mazoezi sahihi husinywe mitishamba wala dawa za kichina piga tizi

Cheki Avatar yangu upate picha kitambi kilivyokuwa na sasa naelekea kwenye six packs
 
Back
Top Bottom