Nakojoa mkojo wa njano

Nakojoa mkojo wa njano kila nifanyapo tendo,hata bila kondom bado tatizo lipo.Nombeni dawa please.
Mkojo ukiwa njano sana maana yake upo concentrated na hii husababishwa kwa kutokuwa na liquids za kutosha mwilini...Kunywa maji mengi kama walivyosema wengineo..na ukishajaribu hivo na hali hio ikiendelea nakushauri uende hosp ukampimwe huyo mkojo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom