kwani ni lazima kutafuna dawa za minyoo????

pinkpink

Member
Feb 2, 2013
75
31
nimepewa dawa za minyoo vidonge vitano hospital nimeambiwa nitumie mida ya asubuhi, ila mtoa dawa hajaniambia kama nitafune au vip..kwa upande wangu naona nimeze na maji bila kutafuna kama Bublish
 
Back
Top Bottom