Kwa upendo tuitikie hii dua


Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,347
Likes
1,725
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,347 1,725 280

NAOMBA SOTE TUITIKIE DUA NJEMA WAKUU,


NAOMBA FORM 4 WANAOTARAJIA KUANZA MTIHANI WA TAIFA KESHO
WAPATE ALAMA ZA KUWAWEZESHA KUJA KUBETI TU ILI TUPATE WATEJA WENGI HUKU KITAA HUKU!!!

WAKUU,
TUSEME "AAAAMEN".
 
Psych counselor

Psych counselor

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
437
Likes
652
Points
180
Psych counselor

Psych counselor

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2017
437 652 180
Hiyo AAAAMEN n kwa idhini ya nani mkuu !!

Devil au???? Hahahaha hawaji
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
22,694
Likes
35,150
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
22,694 35,150 280
Ameni...nmekumbuka 2001 kesho paper inaanza muda kama huu nipo fm academia nmeshika chupa yangu ya kilimanjaro nacheza kunguru hafugiki
 

Forum statistics

Threads 1,251,893
Members 481,937
Posts 29,789,539