Ttzo usawa mkuu ndo maana tunaamua kuchana mikeka tu, tunaoza na degree zetu mtaanWazee wa mikeka
Wanatupa nauli zao bila kuelewaHahaaa ķutupa mkeka
Madem na mwanamke n kitu kimoja..,sema tunatumia majina mengi kuwaitaKwakuwa ni madem ndo mana wanatuma, embu badili gia, mchukue mwanamke
So mama yako ni dem?Madem na mwanamke n kitu kimoja..,sema tunatumia majina mengi kuwaita
Au ukakutana na mambo mazito.Ndio maana mimi sifanyagi usafi nyumba za watu kwa kuogopa mambo kama haya
Acha kabisaAu ukakutana na mambo mazito.
Dah kidogo tu niwe first to reply
we ngojea tu nitakuwahi siku nyingine
keshokutwa narejea hizi siku mbili tatu nimekaa kimya eewe ngojea tu nitakuwahi siku nyingine
Katupa karatasi ya mkeka wa laki mbili na 74 so sad kbs, cjui kwanin alikujaMkeka kaufulia manina mkeka unasoma dau la biko daaah