Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanaume hatuna mwanamke mmoja kuna yule "mtakuja" hata uende wapi jioni utarudi utamkuta alafu kuna vipoozeo sasa,
Kuna njia kibao nimasave michepuko kiujanja...
*TOFAUTI KATI YA WATANZANIA NA WAZUNGU WANAPOTUMA POST ZA KUOMBA USHAURI FACEBOOK*[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
*AMERICAN POST:*
Hello, my name is Sandra Stone...
Thanks God kwa kuniweka hai mpaka leo nimeongeza miaka kadhaa
Happy birthday to meeee
[emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji480] [emoji480] [emoji480] [emoji486] [emoji482] [emoji482]...
Jamani eeeh!!!! Jana kwenye droo ya sa 3 usiku nimeliwa pesa yangu nyingi saanaaaaaa..... Wakasema wanshughulikia mpaka sasahivi hamna kushughulikia na wamekaa kimya wakati watu tuliweka pesa zetu...
Hakuna kitu kinauma kama ....
"Rafiki yako uliyemnunulia bia miaka minne mfululizo akiwa hana ajira, leo kapata kazi anakwambia ameacha pombe,inauma sana."[emoji38] [emoji38]
Twenda na sms hizi
Mathematician are not serious at all
Hapo ndio upo class umeconcetrate na pindi unajisikia kubanja ile unatoka paap unarud unakuta t hakuna alaf sin A unaambiwa ni 2.03 mwalim anaendele kutafuta...
Habari zenu wakubwa,
Matumaini yetu ni kuwa nyote ni wazima wa afya na mnaendelea vema na shughuli zenu ili kuepuka kusoma namba.
Malengo ya uzi huu ni kuweka utaratibu wa kuweza kupata mwanaJF...
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania
01. Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.
02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja...
Wakuu wanajamvi,wake kwa waume,wababa kwa wamama , lladies and gentlemen km mm,wachuma ulete na watafutaji
Habari ya kwenu!
Me niko poa.
Jion ya leo imenipendeza kuwashirikisha hili swala la...
*Smartphone hizi yaani shidah tupu nimekuta missed call ya mama mkwe nikamtumia meseji kumuuliza KWEMA HUKO*????
*Nikajikuta nimeandika KWENDA HUKO alafu nishaituma nampigia simu...
Mambo vipi nauli ya kuja JF ni bei gani kwani? mpaka unune utoe povu la nini sasa??vyuma vimekaza ondoa stress kwanza!! ucheke kidogo ufukuze uzee!! moja, hatuwezi kuwa wote sawa kiakili hivyo...
Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.
Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu...
Imefika kipindi Jamii, ambayo hufikiri jukumu la ulezi ni la akina mama tubadilike, Tukajikuta na A Tuthubutu japo kwa wiki kuwa karibu na familia zetu ili kuonesha upendo, na kuwapa unafuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.