Ubinadamu ni kazi, kudai madeni inauma sana

  • Thread starter Nkwabichalleslutonja
  • Start date

N

Nkwabichalleslutonja

Member
Joined
Jul 12, 2017
Messages
85
Likes
77
Points
25
N

Nkwabichalleslutonja

Member
Joined Jul 12, 2017
85 77 25
Hakuna kitu kinachoniuma kama mtu umkopeshe pesa halafu mpaka uanze kumdai, hii kwenu imekaaje members wa jf
 
Mtu mdogo

Mtu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
524
Likes
773
Points
180
Mtu mdogo

Mtu mdogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2016
524 773 180
Pole usikopeshe tena binadamu wamebadilika
 
mtzedi

mtzedi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Messages
2,210
Likes
1,055
Points
280
mtzedi

mtzedi

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2011
2,210 1,055 280
hakuna kitu kinachoniuma kama mtu umkopeshe pesa halafu mpaka uanze kumdai ,hii kwenu imekaaje members wa jf
Enzi za Jpm usikopeshe mtu pesa zako hata kama ni nduguyo. Mwenye sikio na asikie.
 
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,282
Likes
1,487
Points
280
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,282 1,487 280
HIYO NDIO TABIA YA WATU NDUGU
 
colin_morgan

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
1,553
Likes
1,605
Points
280
colin_morgan

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
1,553 1,605 280
Ukitaka ubaya dai chako
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
30,091
Likes
162,993
Points
280
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
30,091 162,993 280
Kudai dai mtu hiyo kitu kwangu huwa inanishinda napenda mtu awe anajiongeza mwenyewe bila kusumbuliwa.
 
Ndondocha mkuu

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,301
Likes
1,163
Points
280
Age
21
Ndondocha mkuu

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,301 1,163 280
kuna best ang sana 2 nlmpa 50000 aliniahd baada ya siku 7, zmeisha juz,jana ananambia atanipa ndan ya siku 2
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
14,044
Likes
11,831
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
14,044 11,831 280
Mjifunze kusamehe deni
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,481
Likes
6,591
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,481 6,591 280
mkopeshe mtu hela ambayo haitakuuma hata asipokulipa..

unampa hela kwa gia ya mkopo.. ila umwambii kama umempa.. ili hata asipokulipa usiumie sana
 
Illuminata Rodgers

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
2,384
Likes
1,421
Points
280
Illuminata Rodgers

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
2,384 1,421 280
Inakera mno afu mwingne unakuta anakupa majibu ya hovyo like nadaiwa na wengi so ww kua mvumilivu tu or nalipa kwanza maden ya hatar then ww
 

Forum statistics

Threads 1,213,166
Members 461,974
Posts 28,468,971