Smaryphone

Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,713
Likes
3,206
Points
280
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,713 3,206 280
*Smartphone hizi yaani shidah tupu nimekuta missed call ya mama mkwe nikamtumia meseji kumuuliza KWEMA HUKO*????

*Nikajikuta nimeandika KWENDA HUKO alafu nishaituma nampigia simu HAPOKEI*

naenda kumuomba msamaha
 
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Messages
1,751
Likes
2,322
Points
280
Age
36
Mzee wa hat-trick

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2016
1,751 2,322 280
*Smartphone hizi yaani shidah tupu nimekuta missed call ya mama mkwe nikamtumia meseji kumuuliza KWEMA HUKO*????

*Nikajikuta nimeandika KWENDA HUKO alafu nishaituma nampigia simu HAPOKEI*

naenda kumuomba msamaha
Sio rahisi ukute tu missed call, tena ya mama mkwe, halafu umtumie msg umuulize KWEMA HUKO..?? Sio rahisi mkuu.

Huyo mama mkwe mmezoeana kiasi gani mpk umtumie meseji za style hyo..?? Nway, napata ukakasi kuamini hili.
 
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,713
Likes
3,206
Points
280
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,713 3,206 280
Sio rahisi ukute tu missed call, tena ya mama mkwe, halafu umtumie msg umuulize KWEMA HUKO..?? Sio rahisi mkuu.

Huyo mama mkwe mmezoeana kiasi gani mpk umtumie meseji za style hyo..?? Nway, napata ukakasi kuamini hili.
Inaweza ikawa sio rahisi kwako jinsi mlivyo na mkweo ila sio kwamwingine mkuu ... fikiria tena
 
Forum statistics

Threads 1,235,131
Members 474,351
Posts 29,212,830