Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania

01. Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.

02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03. Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.

04. Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05. Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo.

Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
 
Ni tetesi tu, utafiti unahitajika kuthibitisha kwa takwimu nadharia zifuatazo.

01. Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school, na kuishia kuwa Wahandasi na Madaktari.

02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03. Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.

04. Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu wote hawana raha.

05. Wale waliopata Zero na waliokataa shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo.

Kuna haja kweli ya kudharauliana? Kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Ni ukweli mtupu uliousema but fursa waliyonayo lile kundi la kwanza na la pili wanaweza kuamua kufanya kazi zozote za makundi mengine ilhali makundi hayo mengine hayawezi kamwe kuja kufanya kazi za uhandisi ama udaktari.
 
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapaTanzania

01. Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.

02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03. Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.

04. Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.

05. Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo.

Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
Kwa mbaaali nakuona ndugu muandishi kwny group mojawapo.
 
Back
Top Bottom