Kila siku umeme kukatika imekuwa kawaida ktk maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar sijui mna tatizo gani Tanesco kila siku badala ya kuboresha ndio mnaua kabisa shirika.
nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Naandika hapa nikiwa na maumivu makubwa sana na sijui hata hatima ya maisha yangu, ndugu zangu sasa wamekataa...
Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbalimbali ianzishwayo na baadhi wa member wa kike humu kwenye jamvi la mahusiano na hasa wale wanaojiita majina ya kuvutia na...
Wakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted...
Habari yako mshana Jr
Awali ya yote napenda niseme wazi kuwa JamiiForums imekuwa ni sehemu pekee ambayo nimekuwa nikifarijika sana hasa ninapokutana na ma-star kama akina mshana jr , GuDume ...
Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.
Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?
Mimi yangu ni kwasababu...
Wasalaam wanabodi..
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara kadha wa kadhaa, Hivi kuna ambaye hamfahamu Nyani Ngabu humu JF? Ni kwanini Nyani ni maarufu sana humu JF? Hili swali ningeomba Nyani...
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,
Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.
Sasa...
Niliiona kwenye gazeti la ulaya kuwa kuna mjane aliyeachiwa pesa na mumewe na hakuwa na mtoto. Alinunua paka na kuishi nae, paka yule alikuwa saa ngapi bibi anaamka na akichelewa atamwita
Bibi...
Wakulu salama....??
Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo.
Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni...
Mzuka Wanajamvi?
Kulikoni jamiiforums person of the year 2017 dogo Joseverest haonekani jamvin siku hizi. Josee kila thread ulimkuta Tena wa kwanza kukomenti Na hapiti wa tano. Hata Uganda forum...
Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.