Habari za weekend wadau nipo Tabata hapa Kb paradise napiga bia mbili Tatu lakn castle lite wenyewe wamekiri kua wamevamiwa na Serengeti lite na Bei mpya ni 2000... For sure we've been hacked.
Ndugu zangu,
Kuna jambo limenifikirisha hapa nikaona nisiliache lipotelee hewani..
Humu ndani pamoja na kuhabarisha na kupiga soga, naamini kila mmoja ana ujuzi wa jambo flani kitaalamu.. Bahati...
Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya...
Nawatafuta Hawa wadau wa chitchat aisee...
Mkaguzi wa bikira mkuu Asprin
Mwenyekiti wa jukwaa mhe Baba V
Mzee wa busara Watu8
Mama Mchungaji Mamndenyi
Mabinti wa watu8
charminglady
wise lady...
Binafsi ingawa umri wangu ulikuwa sio mkubwa sana lakini kwa kiasi kikubwa nilishuhudia mabadiliko makubwa ya maisha!
Mwanzo TV tulikuwa tunaenda kuangalia kanisani (mission).
Tuliacha kuvaa...
Ebwana kutokana na sayansi yangu ya kifala inaniambia wanawake wenye k Bomba niwale wafupi hivi Ni kweli maana sasaivi kama shemeji tall we niachie utamkuta salama ila piritoni iyo Ni lawama wadau...
Kuna matangazo fulani ya magumashi (fraud) huwa nayasikia kwenye redio. Kinachonisgangaza matangazo haya yote wanatumia lafudhi ya kabila fulani. Ina maana kabila hili ndio kinara wa magumashi...
Nikiwa kama Kijana Mkatoliki sijawahi kujua kuna siri gani katika viapo vya wahudumu wenu ma Padre.
Je vile viapo vina nini? maana nimeona asilimia kubwa ya mapdre walioacha upadre wakiwa hawapo...
Kuna bwana mmoja alikuwa na shauku ya kufika Dar. Katika umri wa miaka 30+ hajawahi kuliona jiji la Bashite.
Aliuza mazao yake na akiba aliyokuwa nayo na kukata ticket ya train. Akiwa njiani...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Leo nilikuwa nimeenda kumnunulia mtoto wa kike nguo za ndani, mwanangu huyu ana miaka saba yuko la pili kwa...
nimeamini zile population pyramid zipo sawa kabisa, jinsi zinavyo onyesha idadi ya wanaume ilivyo kuwa ndogo compared to # of female. Wanaume tumekuwa na mawazo mengi katika maisha kuliko hawa...
sehemu gani ya mwili ambayo upata hewa ya oxygen kwa mara yakwanza katika mwili wa binadamu, nimeulizwa hili swali alafu pembeni kunakitita na bado sijapata jibu
Mama Sabrina again!!!!!
Ni hivi unakuta umeitwa na mpenzi wako sehemu au mahala fulani halaf ,tatizo sio kukuita hiyo sehemu hapana,tatizo ni watu uliowakuta na mpenzi wako hapo,yaan kakaa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.