JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa(Lunch za kufuru zimepigwa BAN) 2 )Kumbe unaweza kubeba chakula(kiporo) na kwenda nacho kazini. 3 )Bila bodaboda au bajaji kumbe unaweza kutembea na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni thread maalum kwa akina dada kujua tabia za wanaume wanaotumia mitandao ifuatayo. VODACOM ~Wanaume wa mkoa huu ndio mtandao wao mkuu. Yaani hapa huwaambii kitu kabisa ~Wanaume wengi...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
2 Reactions
17 Replies
11K Views
Nikauli iliyosikika nje ya chumba changu now nimefunguliya mziki paka mwisho sitaki ujinga na kifo[emoji102][emoji102]
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,
3 Reactions
83 Replies
4K Views
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mpaka mwaka 2025 Kuna mambo mawili yatafanya watanzania wengi wawe na ugonjwa wa MOYO. 1. Kubet 2.Utawala wa jpm Ova!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake: 'Baby: kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA'' ''Okay Baby,gari haina mafuta na sina...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Rejea Kichwa cha Habari kisha tiririka na serereka zako tu tafadhali. Sipandi tena ' Daladala ' za Kimara - Bonyokwa na nimekoma! Nawasilisha.
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari za huko uliko. Kuna hili suala linanipa utata kidogo. Naamini wengi tuna wapenzi au wenza wa maisha. Na wengine ambao wapo solo waliwahi kuwa kwenye mahusiano wakati fulani. Katika...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwako Mwifwa Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi. Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele . Unajua...
18 Reactions
923 Replies
102K Views
Halaaaa Mama Sabrina nimewamiss wanachit chat mjue nini mapenzi tu nakuwa busy na baby sanaa mpaka anapasahau huku ,basi basi toka nimpate G nalala vizurii nimekuwa mwingi wa furaha sana na...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
"Goodbye's (The Saddest Word)" Mamma You gave life to me Turned a baby into a lady Mamma All you had to offer Was the promise of a lifetime of love Now I know There is no other Love like a...
0 Reactions
3 Replies
672 Views
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Kitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha. Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na...
67 Reactions
355 Replies
23K Views
Totoz chebwa chebwa,, mchele mdogo ila nyama nyingiiii,, totoz chebwa chebwa,,,
15 Reactions
152 Replies
17K Views
Katika tafiti zangu za mtaani kwa Tz nahs kuna vimisemo huwa vinaanzishwa bila kuvifanyia uchunguzi faafu.! Mfano msemo kama huu. "DUNIA SIMAMA NISHUKE"[emoji3][emoji3] Yan huu msemo ukiuzngatia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndio Mimi nakula sana kwenye haya mabanda umiza yani sio kwamba napenda sema Nina sababu zangu binafsi.Sasa kama wewe ulikuwa kama Mimi ebu tupe sababu zilizokufanya uache kabisa yaan usitamani...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom