Zijue tabia za wanaume wanaotumia VODA/AIRTEL/TIGO na HALOTEL

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,459
Hii ni thread maalum kwa akina dada kujua tabia za wanaume wanaotumia mitandao ifuatayo.

VODACOM

~Wanaume wa mkoa huu ndio mtandao wao mkuu. Yaani hapa huwaambii kitu kabisa
~Wanaume wengi wanaotumia voda ni bahili sana
~Unatumiwa na wanaume wengi wanaofanya biashara za kati na ndogo ndogo
~Unapendwa sana na wanaume wa mikoa ya kaskazini

TIGO

~Ni mtandao unaotumiwa zaidi na vijana hasaa wanafunzi wa sekondari na wale wachuo
~Kama wewe ni mwanamke mchunaji mwenzangu hapa kupata vibuzi vya maana ni ngumu
~Ni mtandao unaopendwa na wanaume wa kipato cha chini
~Wanaume wa tigo wengi ni vijana wapenda miteremko na ofa za bure

AIRTEL

~Ni mtandao unaopendwa na wanaume wa mkoa wachache hasaa wale wa mkoa wa mara na wale wanaotoka bukoba akina Rweyemamu
~Mtandao huu unapendwa sana na wanaume wasomi
~Ukipata buzi hapa umelamba dume kwani sifa ya wanaume wa mtandao huu sio bahili

HALOTEL

~Unapendwa na vijana wengi wapenda miteremko na ofa za bure
~wanaume wengi wanatumia mtandao huu huwa na macho mekundu kutokana na kukesha usiku sababu ya kupenda ofa za Data
~Ni ngumu kupata kibuzi cha maana humu
 
Natumia thunderbird imeunganishwa na secure node relay green bolt hii inanipa access ya unlimited free internet na mobile phone communication services 365/24/7 silipii kitu halafu tena natumia mitandao yote hii ulotaja kuepuka mitego yao, Team Kitonga halafu hela kama kawaida ninazo.
Je utaniweka kundi gani sasa?
 
Natumia thunderbird imeunganishwa na secure node relay green bolt hii inanipa access ya unlimited free internet na mobile phone communication services 365/24/7 silipii kitu halafu tena natumia mitandao yote hii ulotaja kuepuka mitego yao, Team Kitonga halafu hela kama kawaida ninazo.
Je utaniweka kundi gani sasa?
Utakuwa muhaya kaka au nimekosea??
 
Mimi natumia tgo na halotel but sina hizo sifa hata moja. Kila mtu kuna kitu anachokipenda mda mwingine bila sababu
 
Back
Top Bottom