MISEMO YA KIBONGO INAYOBAMBA.!!

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Katika tafiti zangu za mtaani kwa Tz nahs kuna vimisemo huwa vinaanzishwa bila kuvifanyia uchunguzi faafu.! Mfano msemo kama huu.

"DUNIA SIMAMA NISHUKE"

Yan huu msemo ukiuzngatia utashangaa sasa dunian inaznguka 24/7 mwaka mzma, Je ikisimama ili wewe ushuke huo usalama wa watu wengne wakina sisi na yule utakuwa wapi?

Pili utashangaa hyohyo anayetaka kushuka ikimtokea hitilafu tu kidgo ya Afya yake anakimbilia hosptali kupima na kutibu ili apate afya njema lakn anasahau kuwa yeye ndiye aliyetaka dunia isimame Ashuke!! Dunia ikitaka kumshusha Anachomoa shubaaaaamit.!! Niliwahi kumkumbusha Dada mmoja best yng kipindi amelazwa hoii kbxa kitandani hosptal moja hv kuwa
"kijimsemo chako ndio kinafnya kazi mda huu vp utashuka?"
akasema "no sirudiii tena aiseekusema huo msemo!!"

Huwa sipendi sana kuskia mtu anasema "Dunia simama nishuke"
Kama na ww una msemo unaujua unazngua tupia hapa. Watu wajue!!
 
Back
Top Bottom