Nimekaa zangu kwa mamantilie nmeagiza ugali dagaa nakula ghafla namuona pembeni mtoto wa mamantilie anakula bure..tena wali na nyama,Yaani nimeshikwa na hasira hapa na hiki chakula silipii..
Habari zenu wakuu
Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba
Mwampamba...
Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana.
Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia...
Habari wakulu..!
Dakika chache zilizopita nilikuwa napata safari zangu mbili tatu hapa sports pub...
Sasa wakati naendelea kuzibua chupa moja baada ya nyingine, akaja boss flan akiambatana pisi...
Wanajipendezesha sana nje, lakini ndani ni wachafu. Si ajabu kuvaa nguo mpya kama dela wakati hata kuoga hajaoga. Na sehemu anayolala inaweza kuwa chafu kabisa.
Wana midomo sana. Hata ukiwamsha...
KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh.
Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine.
Una lipi la kuwashauri...
Maisha ni pesa, na utulivu wa nafsi pia unahitaji pesa.
Sasa najaribu kufikiria, namna ya kutumia hili jukwaa katika kujiingizia kipato; wazo la kuwatumia nyie kama fursa ya kiuchumi.
Leteni...
Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki...
Hivi kuna kifungua kichwa kizuri bila kiporo. Asubuhi umeamka zako baada ya kuswaki muda wa chai ukute wali maharage wa jana na chai ya rangi yenye mchachai wajameni. Hizi ndo chai za kibabe...
Wakuu habari zenu?
Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza.
Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja...
Habari wadau, ndugu, jamaa na marafiki.
Je weekend yako inaendaje, share nasi kidogo
Weekend yangu kiukweli imeanza vizuri na taratibu, nimeanza kwa kwenda kutembelea kidogo miradi yangu, ambayo...
Nimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu.
Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa...