JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wengi wetu tunapitia changa moto nyingi sana katika maisha, mda mwingine tunakosa kabisa watu wa kutuelewa....share stress zako...uwezi jua maoni ya watu wengine yanaweza kukupa majibu...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
SAMSUNG s4 moja s5 zaidi ya 5 j5 zaidi ya 5 note moja note 2 tatu note 3 zaidi ya 5 grand prime plus moja note 4 moja note 5 tatu HUAWEI p7 mbili p8 1 p8 lite zaidi ya 5 gr5 gr5 2017 p10...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Somo limeeleweka wanafunzi 30 kati ya 32 wameweza kuelezea maana ya msamiati jiwe. Wanafunzi wawili ambao hawajaelewa wamepewa muda wa ziada kuangalia hotuba za kinala wa kauli tata
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba shemeji yangu kipenzi kama uko hapa JF na ID nyingine tafadhali nisemeshe. Kila nikichungulia ID yako imekuwa BANNED. Please Raimundo, nina shida na wewe.
9 Reactions
137 Replies
7K Views
It's so funny this editing...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Hivi vitu bwana, unavamia fani za watu huku huna experience, madhara yake ndo haya...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
habari za weekend wakuu i hope mko salama wote Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu siku hizi nashawishika kuanza kufanya biashara ya kupaka kucha wakina dada au kina mama sababu ni kazi...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Heshima wana MMU, nimewamisss Sana baadhi ya members hapa: Lara 1, Preta na miss chagga. Aliye karibu na Moshono lounge apitie counter Kuna chupa ya double black.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Brace yourself like a man; I will question you, and you shall answer me. Job 38:3 Ile naingia kanisani paap! Naona kwaya ya wababa wameshona mashati ya vitenge, wamependeza kweli kweli! Ghafla...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE. Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Just a fun little exercise. Mada inajieleza. Mfano kama mtu umemaliza la saba mwaka 2018, utajibu 8.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
UTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA? 1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. Wewe ni muhenga. 2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama...
7 Reactions
33 Replies
7K Views
Yamekuepo matukio ya ajabu kwenye makanisa miaka ya hivi karibuni hasa nchini Afrika ya Kusini. Hili ni tukio lingine la ajabu na lililo washangaza wengi baada ya Mchungaji huyu kuwaambia waumini...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Muonekano mpya wa Ommy Dimpoz Baada ya Kupata Nafuu Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amekuwa akipatiwa matibabu Afrika Kusini mara dada ya kufanyiwa upasuaji wa koo. Hizi ni picha za mwanzo...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Ewe mwanamke na msichana..... Hivi unajiskiaje pale unapokumbuka ile fact kwamba... Kuna siku wazazi na ndugu zako watafanya exchange ya wewe na NG'OMBE au TUMBUZI kwa Mme wako...... Msijibu...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Eti Unajuaje kama ‘umelewa’? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tushajizoesha mitaa/maeneo yetu kuyapa majina mbalimbali ya nchi mbalimbali, hebu taja jina la nchi ambayo ulishawahi kuisikia katika mitaa yako au nchi yoyote uliyowahi kuisikia ndani ya TZ na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Happy birthday to me. Hope my birthday blossoms into lots of dreams come true😘😘 Nawait zawadi tu kutoka kwa kaka zangu na Dada zangu,love u all😘😘
1 Reactions
3 Replies
983 Views
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom