Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu...
Wakuu haina haja ya kutapeliana...
Unataka Assist?
Njoo omba hapa upewe...
ha ha ha ha...
Nampenda mke wangu shansarie!!
She is the Best assistant I never had.
Ni kauli ya jirani yangu tukiwa ndani ya Bajaj mimi nikiwa nawahi Masifu ya Asubuhi yaani Morning Glory pale Kanisani Azania Front
Nilishangaa sana πΌ
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia...
Wengine picha zetu za before and after bado mbavu zimekakamaa njaa tupuπ€£ ila hawa tipwa tipwa kamechipukia juzi kana 21yrs old ila ghafla unaona kanapiga picha mara kapo ngoro ngoro mara dubai...
Karibuni katika kongamano la CHAPUTA 2025, kongamano litakalokutanisha viongozi waandamizi wa chama na wanachama watiifu. Kauli mbiu ya kongamano ni Kiganja ni furaha yangu.
Magwiji mbalimbali wa...
Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha...
1. Anna Shayo - huyu dada nlisoma naye Sangu Secondary School Form Five. Alikuwa akiishi Mwanjelwa kwa dada yake (kama sijakosea) naye that time alikuwa kidato cha 5 masomo ya Biashara au Sanaa...
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake.
Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete...
ugonile,
Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k...
Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu π€£ π€£ π
Nacheeeka πππ na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi
Kunaanina π€£ π€£ π€£...
Tuseme ukweli bila kupepesa macho
Unalala nayo kitandani
Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
Battery ikishuka chini ya...
Leo nimekaa nimemkumbuka baba mwenye nyumba yangu, kipindi nipo chuo huko mkoa Xy nilikuwa mlevi sana na baba mwenye nyumba yangu alikuwa ni mlevi sana, lakini walevi wastaarabu, tuliivana sana...