JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sijawahi kwenda kuangalia mechi ya mpira wa miguu. Sijawahi kula nyama ya wanyama wa porini (swala, nyati, ngiri etc.). Sijawahi kujimilikisha mpenzi ninayemzidi umri. Sijawahi kufika Ruvuma...
13 Reactions
243 Replies
5K Views
Wamasai hawafugi mbwa kwasababu kazi ya mbwa wanafanya wao
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu...
3 Reactions
2 Replies
316 Views
Inawahusu wazee wa totoz na gambe. Nipo njiani nasogea kibaya nipeni bar nzuri guest za Bei chee.
7 Reactions
30 Replies
858 Views
Ukiona bado unapambana na tabia zako kwa kutegemea kitu fulani kikusaidie katika kuziweka sawa hizo tabia usizozipenda basi jua bado haujakuwa kikamilifu!. Kukua ni pamoja na kuweza kupambana na...
2 Reactions
2 Replies
227 Views
Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk. Well, wengine huingia...
10 Reactions
100 Replies
118K Views
Karibuni wadau wote mliozaliwa miaka ya 2000's wadada na vijana wa kiume tuje tupeane michongo mbalimbali ya maisha Shangazi zetu na wajomba muwepo kutupa ushauri tu na si vinginevyo
2 Reactions
29 Replies
748 Views
Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile...
24 Reactions
135 Replies
4K Views
Wakuu habari, Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi? Yaani mimi niangaike kutafuta...
14 Reactions
76 Replies
2K Views
Naombeni kujuA hv kuota unadondokea kwenye shimo refu maana ake ni nin ??
2 Reactions
16 Replies
761 Views
Nikiangalia kwenye kioo, Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed. Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuna wale tulikuwa nikifikisha miaka 30 ntakuwa nimejenga nyumba nzuri, nna kazi nnayolipwa mshahara si chini ya Mil. 5 au nimeajiajiri na biashara yangu inaingizia si chini ya mil. 10 kwa mwezi...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi. Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Hii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao, 1. Ndenjela 2. Ilasi 3. Sauli 4. Matema 5. Rungwe 6. Scandinavia 7. Hood, 8. Majinjah.
1 Reactions
10 Replies
714 Views
Hello Chit Chats Jamani jamani K kumbe inasura mbaya nina kastory kananiumiza kichwa nimevurugwa kisaikolojia kutokana maumbile ya hii eskanunu ahahahahah Yaani mimi K yangu imejaa mashavu ni...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza...
32 Reactions
245 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…