Opportunities for higher learning.
1. Wizi wa kura
2. Kutumia vyeti feki
3. Kulipa mishahara hewa
4. Kuanzisha makampuni hewa
5. Kuiba mishahara ya waathirika wa Gongo la Mboto
The college is...
Usiku mzima wa jana nimekuwa nafikiria niandike nini au nikwambie nini katika siku yako hii muhimu..! I just can't seem to find the right words to say..
Badala yake nimejikuta nafikiria mbali...
Uraibu upi mzuri na upi mbaya
Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya
Uraibu (Addiction)
Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una roho ya namna gani na asili yako ni ipi...
Kulikuwa na kijana moja aliyeitwa Chaupele,aliitwa hivyo kutokana na kuwa na vipele miguuni,siku moja akiwa amekaa nzi wakaanza kumsumbua na kukalia kwe vidonda vyake miguuni,alichofanya siku moja...
Hivi wakuu, kuna App inashinda hii kwa kuonesha majengo au maeneo mbalimbali bila kuacha kitu chochote.. hii App nakubali sana na inanisaidia kupima maeneo shambani kwangu kwa Acre/hekta pia...
Wote tuliomo humu, tukaanzishe timu za mipira kwenye vijiji tulivyotoka.
Lengo likiwa ni kuwaboreshea mazingira ya umoja na mshikamano, na pia iwe kama mchango wako katika jamii ulikotoka.
Kama...
Nikiwa chumbani mitihani ya supplementary, nikakutana na rafiki yangu… ambaye siku zote alikuwa ananikufundisha! 😂 Nilihisi kama napaswa kumheshimu zaidi au kumtisha kidogo kwa maswali ya mtihani 😅
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa Dr am 4 real PhD kwa kunitumia sh 3000 ya kula na familia yangu leo jioni na natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi...
Wakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako.
Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa...
SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba.
DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au...
Kuwa introvert ni asili ya mtu.
Kama unataka ubadirishe mwenendo wako, Ni either upunguze mazoea na watu au kuji control kuongea sana ila kujifanya kuwa mkimya utandaa tatizo la afya ya akili...