JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
GT Nimehangaika sana kutafuta hii video sijaipata. Sijui.mganga wangu nimpelekee nini ili mambo yangu yanyooke. Mwenye hii video msaada please
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Wanatoa sana kafara ndio maana hawataenda mbinguni
6 Reactions
24 Replies
831 Views
Siku nzuri wakuu! Watasha wanasema "learning is the continuous process from cradle to grave" kujifunza ni kitendo cha kuanzia unazaliwa hadi unakufa..hakikomi..Leo tujifunze hiki kinachowasibu...
12 Reactions
763 Replies
66K Views
Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi. Hii inanipa motisha na hamasa ya...
39 Reactions
420 Replies
6K Views
Huwa nazipenda na kuzikubali sana siku za Alhamisi,Ijumaa na Jumamosi. Hivi Kwanini watu wengi wanaichukia sana siku ya jumatatu? :D
3 Reactions
4 Replies
303 Views
Jana nilikuwa bar moja natafuta usingizi wangu ghafla nikasikia haja ndogo nilipoingia chooni nikakuta mwamba mmoja akihesabu mzigo wake wa kumikumi nikajua huyu jambo linaenda kumkuta...
1 Reactions
2 Replies
319 Views
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine...
22 Reactions
127 Replies
6K Views
Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana. Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au...
12 Reactions
106 Replies
4K Views
Wakuu, Hawa wenzetu wana ujasiri sana mtu unawezaje kuendesha chombo kama hiki kwenye eneo hatari kama hili? Mimi hii sijaribu labda mnipeleke mental hospital Alafu Watanzania sionagi...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Hawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba. Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.
4 Reactions
7 Replies
405 Views
Kwa maokoto ya kila siku. Hakuna trafiki boya/maskini. Kuwa na balance bank 50m TZS Jambo dogo
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Niko na miaka 28 sasa na naishi kwangu na kazi zangu ila nimekuwa addicted kula kwa watu. Yaani nimejaribu kuacha hiyo tabia ila najikuta kila siku lazima nitafute nyumba walau niende nikadoee...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Unahisi ni kitu gani wazazi wako wanajivunia sana kuhusu wewe ?
4 Reactions
17 Replies
611 Views
Uzi huu ni special kwa memes za picha na maandishi , karibuni
2 Reactions
81 Replies
2K Views
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia...
25 Reactions
136 Replies
3K Views
Ni muda mrefu sasa sijamsikia huyu mzee VUTA-NKUVUTE jamani yuko wapi? Au na yeye ameamua kujiuzulu kuandika habari humu ili kumuunga mkono Rais. Maana kumekuwa na wimbi la watu kuachia nafasi zao...
1 Reactions
2 Replies
765 Views
Tarehe kama ya leo, mwezi wa kwanza, mwaka 2011 (6th Jan 2011), Nilipata fursa ya kujiunga na Jamii Forums. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kudumu humu jamvini mpaka sasa .. SABABU YA KUJIUNGA...
20 Reactions
302 Replies
17K Views
Wakuu! Niongezee sautii ama? Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
10 Reactions
127 Replies
4K Views
Nothing more
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…