JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
```Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu. Si vibaya tukakutana na ndg na marafiki tuliopoteana nao. Binafsi kuna watu nawasaka sana. Yaani nimewagoogle kila kona bila mafanikio, mwingine nikamkuta Facebook lakini...
3 Reactions
217 Replies
18K Views
Hii scrub mpyaaa kabisaa. Amenikalia mapajani huku ananiscrub. Ananiuliza, "kaka kwani unaumia?" MTATUFILISI Sent using Jamii Forums mobile app
10 Reactions
87 Replies
11K Views
"Ukweli mchungu Iwapo unawapenda watoto wako, tafuta biashara, si kazi, kwa sababu ukifa watoto wako hawawezi kurithi kazi yako, lakini wanaweza kurithi biashara yako. "Kiuhalisia, ukifa unafanya...
3 Reactions
3 Replies
906 Views
Unakuta baba jitu zima limekaa bar..mezani limetandaza juice ya miwa(Serengeti lite). Bia yenyewe inauzwa 1500..jamani..kunyweni Heineken.. Windhoek.. Acheni kujaza tumbo na mi juice Sent using...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kituoni Simu2000 ama hupendelea kukiita zaidi Mawasiliano, tumeketi vyema tukisubir daladala mbali kidogo na hapo tulipoketi kimesimama kibao wima mithili ya mwanajeshi achezaye kwata juu yake...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Huwezi kufananisha Moshi na sehemu Kama mwanza.hii Ni kwa sababu Moshi yote ametapakaa mchaga.hakuuzii ardhi yake kizembe.anaweza akawa ana nyumba na asikupangishe akigundua we Ni mtu wa kabila...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
There’s no way that your birthday can be as happy as you make me. But I hope it’s close! Be who you are, because who you are is amazing. Happy birthday to my best friend and the father of my...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwenye mada moja kwa moja bila kupiga kona kona. Natoa ahsante nyingi kwako MwanaJF ambaye uko Moshi, ulivyonipokea kwa ukarimu wa hali ya juu. Nasema kutoka moyoni nimefarijika sana. Ulitenga...
19 Reactions
322 Replies
12K Views
Ewe ' insect ' uliyopo Tanzania najua fika kuwa tokea uingie mwaka 1981 umekuwa na hasira nasi Wanadamu ila nisikufiche kwa sasa unatuudhi kwani huwachukui Watu kwa mpango ' Maalum ' na kila mara...
4 Reactions
5 Replies
982 Views
Oi tuchangamkeni watanzania jumapili Kama hizi Ni siku za kuchangamka,TUnataka tujuane kwa kazi taja: vifaa,tools, devices, items tatu(3) ambazo una deals nazo Sana ukiwa kazini kwako.members wa...
2 Reactions
115 Replies
7K Views
Najua kabisa kama mimi watakuwepo wengi tu, tunaohangaika kwenda kujaribu life nje ya nchi. Katika pita pita zangu nmekutana na makampuni yanayosaidia kupata scholaship(Moja kati ya njia ya kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu uzi ni special kwa ajili ya wanaosafiri wiki hili,tukutane hapa tupeane moyo na kuombeana mema Maana kwa hali ya madereva wa mabasi ya mikoani hasa wa New force inabidi tu tukikabidhi kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nipo Zenji kwa siku ya 5 sasa bado nyingine 5 Kwa hakika Zenji Japo ni Padogo lakini MashaAllah imebarikiwa jaman Unguja kuna vivutio vingi vya kukufanya upende kukaa zaidi, kwa hakika Japo bado...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani . Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company.
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu!! Mwenye nakala halisi ya hukumu hiyo naiomba aisee....iwe PDF file.. Picha n.k Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Ilisemekana nyie ndio mliotudanganya mkatuonjesha Lile tunda ambalo ndilo limetufikisha hapa tulipo.hio ndio habari ambayo tumeachiwa toka enzi.sasa nataka nijue huwa mnawaza Nini kuhusu Bibi yenu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom