Hii hapa tofauti ya mchaga na mhaya pindi wakipata kazi

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,244
12,620
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo
kibaruani .

Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company.
 
We ndio haikusaidii maana umeenda kwenye u-serious wakati hili ni jukwaa la jokes.

Obvious we utakua muhaya ndio maana umefukua uzi wa wahaya.

Pamoja na yote hayo bado wachaga hatuwakuti maana wanakumbuka kwao tofauti na wahaya ambao hubakia mjini kul bata na malaya sasa kama haukumbuki kwenu akili zako zina umuhimu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nd maana bukoba hakuna maendeleo
 
Back
Top Bottom