Ukihonga elfu 10 ni sawa na!!!

Amante

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
228
216
Kuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na

1.Kuku nyama1
2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg
3.Sukari 3kg
4.Mchele super 4kg
5.Maziwa ng'ombe 4Lt
6.Soda T-away10
7.Castle lt4
8.Petrol 4lt
9.Safari 14 mwendokasi
10.Mayai kisasa 1tr
11.Umeme unit 28
12.Nauli ya Dar Moro na chenji.

Nimeiwasilisha kama nilivyoipata
 
Ahahahaaaa . Enzi zetu kulikuwa na wimbo wa mKenya moja (Ka K Kilonzo) unaitwa ukijulikana kama "HESABU GHARAMA"

Sasa vyuma vimekaza mpaka watu wanahesabu gharama bhuaana . Acha roho mbaya leya bhuaana
 
Kuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na

1.Kuku nyama1
2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg
3.Sukari 3kg
4.Mchele super 4kg
5.Maziwa ng'ombe 4Lt
6.Soda T-away10
7.Castle lt4
8.Petrol 4lt
9.Safari 14 mwendokasi
10.Mayai kisasa 1tr
11.Umeme unit 28
12.Nauli ya Dar Moro na chenji.

Nimeiwasilisha kama nilivyoipata
Nimeipenda hii, kwahiyo unatushauri tunapohonga wanawake tunakuwa tumewawezesha kimoja wapo kati ya hivyo ulivyotaja
 
Ipo siku watakuchoka....ila honga kulingana na mfuko wako.. Kipato chako buku unahonga laki.. Hapo lazima uwaze Sana
Solution ni kuoa tu uhonge cha halali unajua mtakula pamoja na utamu unapata kuliko hawa wasio na shukrani
 
Inabidi tufocus kwenye maendeleo kwanza mkuu hawa viumbe hawaishi wapo tu. wanatufilisi sana
Niliwahi sema , kama wewe ni mwanaume pambana kumiliki pesa hawa viumbe wanaoanza na K watajileta wenyewe bila kuitwa ukiwa na pesa kwenye mtaa wako wanawake wote wanakukubali mpaka wake za watu wanapenda kukutolea mfano wakiwa kwenye mabishano na waume zao, utasikia mwanamke anamtamukia mume wake si uwe kama Fulani kwasababu una pesa
 
Nakubaliana na wewe chief kwa asilimia zote
 
Mikate mikubwa 8

Bando la internet week 2

Unga kilo 10
Mbuzi katoliki 3/4

Kuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na

1.Kuku nyama1
2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg
3.Sukari 3kg
4.Mchele super 4kg
5.Maziwa ng'ombe 4Lt
6.Soda T-away10
7.Castle lt4
8.Petrol 4lt
9.Safari 14 mwendokasi
10.Mayai kisasa 1tr
11.Umeme unit 28
12.Nauli ya Dar Moro na chenji.

Nimeiwasilisha kama nilivyoipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom