Mfahamu vizuri Bujibuji

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
35,383
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
35,383 2,000
1560393602699-jpeg.1126024


Jina alilopewa na wazazi wake ni Nkemi Owoh, alizaliwa mwaka 1958. Alisoma Engineering University na alianza kuigiza akiwa mwanafunzi. Nkemi ana kipaji cha kuchekesha hata script iweje ataweza kuingiza vichekesho vya kusisimua.

Kuna wakati watengeneza filamu wa Nolywood wali m black list Nkemi Owoh kutokana na kiwango cha juu cha malipo alicho jiwekea. Moja ya cinema zake za kusisimua na iliyompa tunzo la kimataifa ni Uosofia in London.

Nkemi aliwahi kuwekwa kizuizini mjiini Amsterdam baada ya police kuvamia show

Alifunga ndoa mwaka 1998 na Ngozi Nkemi Owoh na wamejaliwa kupata mabint wawili.

1560393772708-jpeg.1126027


Ngozi si mwana JF mwenzetu shughuli hiyo amemuachia mzee Bujibuji.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
92,094
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
92,094 2,000
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kumbe unapenda uchokozi eh! Hahahahaha nikikuangalia saa nyingine sikumalizi Best ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View attachment 1126024

Jina alikopewa na wazazi wake ni Nkemi Owoh, alizaliwa mwaka 1958. Alisoma Engineering University na alianza kuigiza akiwa mwanafunzi.

Alifunga ndoa mwaka 1998 na Ngozi Nkemi Owoh na wamejaliwa kupata mabint wawili.

View attachment 1126027

Ngozi si mwana JF mwenzetu shughuli hiyo amemuachia mzee Bujibuji.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,580
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,580 2,000
Bujibuji ni Pastor Ng'ang'a. Ma bishop wote wa JamiiForums mumheshimu mke wangu, akikohoa muitike, sawa.
Na wewe Sky Eclat, utafua nguo zote za mke wangu, bila kujalisha size ya nguo. Ukubwa na udogo wake.
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top